Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Huyu Ndungulile hakuna anachofanya - atumbuliwe tu ili aapishwe mwengine Jumanne kama mama Samia alivyotu promise!
Hana faida na najutia kura yangu niliyo mpigia nikiwa kama mjumbe
 
Utakua mgeni wa utawala wa CCM ndo imetoka hiyo. Hakuna kitu kiliwahi kupanda bei watu wakalalamika kikashuka wanaishia kutoa matamko wakiamini ni upepo tu utapita, rejea sukari, cement, mafuta ya kula nk. Waliopandisha ni haohao serikali kupitia kikao cha ndugulile na wamiliki wa mitandao mwezi uliopita hivyo usitegemee kushuka.
 
Usimhusishe uliyemtaja hapo hayupo tena. Tukabane na Ndungulile, wanadai mapato ya serikali yamepotea. Mimi nashangaa, yanapoteaje kama watumiaji wa mitandao wameongezeka? Siamini vichwa vyote pale TCRA vimewaza kuja na wazo kama hili la kuumiza watu. Hii haikubaliki
 
Walijua wako na Jiwe. Mkilalamika mnaambiwa kaeni na mavi yenu
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Ikawaje programming ika act fast to their favor pale tu tangazo lilipotoka ila sasa lipo against iwe ishu ya muda mrefu
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Unafahamu kuna kitu kinaitwa rollback na version control system !?
Sio kama wameshindwa kufanya on time, kuna other factors na variables outside progamming.
 
MSIMAMO UKO HIVI

1. TIGO
2.HALOTEL
3. VODACOM
4. AIRTEL
5. ZANTEL


Next Tigo ana safu imara ya ushambuliaji akifuatiwa na Halotel kapanda ligi kuu ila ana safu nzuri ya ulinzi, wengine waliobaki wanapigania kumaliza nafasi ya 2
Nenda mikoani hukoo ndo utajua vodacom ni wa aina gani.
 
kuna mtu nliongea nae jana ana kitengo kikubwa tigo alisema itachukua mda angalau wiki wapange vifurushi upya tena
Utamuharibia kazi mwenzako na wataanza kuogopa kuwapa wabongo nafasi za juu maana watajua wanavujisha mambo kama haya kirahisi tu kwa lugha ya kiswahili😂😂😂
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid

Sio programming tu lakini ni systems tofauti zinahusika kufanya hizo rollout...Kuna backend Telco & IT systems zina coordinate na kuna some database reconciliation zinahusika. Hata kufanyika kwa hiyo rollout it must have been a planned activity involving multiple upstream/downstream IT teams. ..Hivyo rollback yake usitegemee kuwa ni something to be achieved with immediate effect..lazima waplan tena rollback activity and most probably within the next available maintenance window ambayo huwa ni usiku during low traffic.
 

Hana faida na najutia kura yangu niliyo mpigia nikiwa kama mjumbe
Kumbe mko naye pande hiyo! Could be the reason he is sabotaging the establishment. Aondoshwe mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…