Makampuni ya simu yadharau agizo la Serikali (TCRA)

Kiongozi, kuprogramu vifurushi ni rahisi kama kunywa maji. Hayo makampuni yana systems zinazohandle hayo masuala ya vifurushi n. k, Siyo kwamba eti maprogrammer wanaenda kubadilisha mistari ya program manually, ni suala la kulog in katika system husika na kurekebisha hivyo vifurushi mara moja, labda uniambie kuwa Management za hayo makampuni zinaleta jeuri au zinajivutavuta kutoa agizo, ili watu wa ICT wakarekebishe kwenye systems
 
Bora umeliweka Sawa pengine wataelewa, mana naona wana social wenzagu wamenishambulia Sana aisee ....
 
Huyu Ndungulile hakuna anachofanya - atumbuliwe tu ili aapishwe mwengine Jumanne kama mama Samia alivyotu promise!
It's too early to judge the minister...

Remember he worked under the tyrant the Late John Pombe..

We are in transition period (kipindi cha mpito wa uongozi). Apewe muda kidogo kidogo naamini atabadilika na kuachana na mazoea mabaya ya Magufuli culture...
 
Unazungumzia kampuni ya simu kama vile ni kampuni ya kubangua na kuuza korosho
 
Kupunguza inachukua muda, mpaka waingie kwenye mitambo warekebishe
 
Usiwalaumu kampuni za simu, lawama zinaenda kwa serikali ya ccm chini ya utawala wa jiwe na wabunge wote waliopitisha sheria mbovu mbovu, Watanganyika embu fungukeni akili zenu
 
Naiunga mkono hoja yako, the market force iamue...

Ila lugha yako uliyotumia kuwasilisha hoja haijakaa vizuri, imeharibu kila kitu; Maneno "ni usenge wa hali ya juu...", " "wapumbavu....", "wajinga....", hayakuwa na sababu kutumika ktk kutoa ujumbe wako..

Mimi nakujali na kukupenda sana ndiyo maana nimekuambia. Wengine hawatakuambia bali watakuwa wanasonya na kukutukana tu wakikusoma..

Asante..
 
Lakini kampuni Ile ipo kwa ajili ya kuhudumia watu. Sio kwa ajili yao pekee, Ndio maana wanafuata sheria zilizowekwa na serikali (wananchi).kwa hiyo HUDUMA lazima iendane na haki halisi ya wananchi pamoja na ubora wa HUDUMA hiyo. Kama kea elfu 2 MB 950,zinaisha taratibu Sana basi tungesema sawa. Sasa Bando linaisha kea mpigo hiyo sio sawa. Bei za Vifurushi ni kama zimekuwa ni elekezi, Kama sivyo basi wasingebadili wote kuwa mpigo. Kwa sababu ilipangwa na ishapanguliwa. Tusubiri
 
Mimi pia siwatoi kwenye lawama wananchi ila wengi wao bado ni wajinga wa kutupa kiasi kwamba wewe kama una shule kidogo tu na kufatilia mambo duniani yanaendaje basi utaona gape la uelewa wa mambo kati yako na hawa wananchi wengine ni kubwa kupitiliza. Sasa serikali kuwatumia hawa wananchi wajinga to further their agenda is wrong.

Kitendo cha serikali kuingilia sekta binafsi kimedhoofisha maeneo mengi sana ambayo yalikuwa yanaenda vizuri. Mf, bei ya mahindi tangu wazuie kutoka nje hadi leo bei imekuwa mbovu.

Viongozi wengi tulionao nchi hii ni bomu sana, kama babu tale yupo bungeni unajiuliza anaweza kufanya maamuzi gani ya maana kwa nchi yetu?
 
Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
so it can take how many weeks or month to switch back the system to its previous settings?.
 
Sidhani kama wanaweza kukaidi agizo, labda kuna jambo tusiloelewa
Huu ni ujinga wetu wenyewe, ile ni process haiwezi kubadilishwa overnight. Tulijua tangu mwanzoni tulichokua tunakifanya, tusiwalaumu
 
Hii issue inaenda kuwa kama ile ya sukari tangu serikali ilivyoingilia mchakato sukari haijawahi kushuka chini ya elfu 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…