Mkuunadhani kote bado.
labda sio process ya dakika kadhaa.
Mmewaona TCRA wakizuia makanpuni ya simu au mnasikia ya mitaani, inainesha kabisa lao moja.Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Brother tafadhali sana. Tumebadili staili. Sasa hivi hatutumii lugha ya ukali kwa wawekezaji! Tutawaita Jumanne ofisini tuzungumze nao. Tutafikia mwagaka tu. Sasa hivi, vumilia kwa kuendelea kutumia 'mabando umiza' hadi mwafaka upatikane! CCM Oyeee!!!Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Hawana backup? Kwamba hawawezi kurollback changes? Au hawakukusoma nyakati kwamba kitu kama hiki kinaweza kutokea? 😳Hzo ni programming kijana , sio issue ya overnight, mpo fixed Sana na siasa hata kwenye mambo ya kitaalam Zaid
Lakini bei zimekuwa zikishuka baada ya kupanda hadi huyu waziri alipoleta huu ujinga wake wa bei elekezi. Binafsi natumia halotel, kwa 1000 nilikuwa napata dk 50 mitandao yote kwa wiki, na5000 napata gb 7 kwa wiki. Kwangu hayo ni matumizi ya wiki nzima na sijawahi kupata bei rahisi kama hizo kabla.lakini pia unapasua ujue bei za vifurushi haviwezi kaa constant miaka yote kuna mda lazima vipande ni kama biashara zingine ingawa sio kwa bei elekezi ila kuendana na mfumuko wa bei pia
Nimepita mkuuMkuu pitia pitia na mawazo ya wadau wengine bas kwenye huu uzi , mbna Wana wameliweka hili Sawa .....!!!!
Thank you for your appreciation...Mkuu
Kutukana ni part ya human existence in this planet
Na kumbuka kuna watu kama sisi tusiokua na aibu yeyote ya kusema kitu kwa tone halisi ya ukali unaotakiwa
Staha ni tabia ya unafiki largely
Unachosema,I can understand where you are coming from,I respect that...
Natumaini pia unajua type of people of my version.....we dont hold no chill for anybody including this group of people called "wananchi" ambapo mimi ni mmojawapo!
Unarudia kila mara kwamba serikali imepandisha bei kwa faida ya wananchi wapenda bure, lakini wananchi gani unaowazungumzia kuwa wamenufaika na kupandishwa kwa hizi bei? Bei zinaumiza hao wananchi sio wanafaidika, wanaofaidika ni serikali basi. Wananchi ni vilio na makampuni nayo ni vilio sababu bila shaka watumiaji watapungua.No one is here in this planet eti sababu anakupenda na yupo kukuhudumia wewe kwa sense unayojisemea
Makampuni na every individual yupo hapa duniani kujijengea mali kwa kutoa huduma kwa wenzake na sio eti "anawapenda",no
Voda,Tigo,etc hawako hapa TZ kuwapata huduma kama charity,never
That will never be sustainable maana nani analipia miundombinu kuhakikisha mnapata huduma?Ni nyie wateja na yeye apate huduma
Hizi hesabu zikiharibiwa haya makampuni yote hayatakua sustainable for long,yatakufa naturally
Kila kampuni na kila mwanadamu yupo hapa Tanzania kwa ajili yake binafsi
Hakuna aliyepo hata kwa ajili ya mwenzake
Kila mtu anatoa huduma au kununua huduma au bidhaa kwa ajili yake binafsi na hakuna msaada mahali popote
Makampuni yana huduma na bidhaa wananchi wanazozitaka,hivyo transaction lazima itokee
Hakuna aliepo hapa eti kwa ajili ya mtu yeyote
Bei elekezi ni very stupid way of politicians kuvamia na kuamua ni bei gani kwa ajili ya vitu gani huku hawana knowledge wala uelewa wowote wa kujenga hizo huduma
Let competition solve these nonsenses
Serikali kazi yake ni kuhakikisha no crime is done by anyone wether to collude,stealing,lying,manipulation,misrepresentation of facts,etc
Sasa serikali inaacha kazi ngumu ya kuchunguza these facts and ku-prosecute these crimes,yenyewe inageuka jambazi wa kuibia watu mali zao kwa faida za wananchi wapenda bure
Tunajenga jamii ya ajabu sana,isiyojali power of free choice,free markets,personal freedoms,haki za kujipatia mali,uhuru wa biashara,etc
Hii nchi inatakiwa kua na principle ya anybody can be anything he or she wants within the laws tulizokubaliana
Sio mtu unafanyakazi au biashara huku unatetemeka kusubiri lini wananchi na mawanasiasa yao yatapanda kichaa vichwani mwao kuja kuchukua mali ulizojenga for free....Nchi ya ajabu sana mamaeee
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana.
Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo, bado makampuni hayo yamekaidi na yanaendelea 'kuwaibia' wananchi kwa kuuza bando kwa bei ambazo Serikali imezisimamisha.
Tunamtaka Waziri Ndugulile na TCRA mara moja wasimamie agizo lao, la sivyo tunatawachukulia kuwa agizo lao ni la kisiasa na si kwa lengo la kumsaidia mwananchi.
Tunataka kuona mabadiriko ya bei za vifurushi mara moja la Sivyo Andungulile achia nafasi hiyo hutoshi. Umetusababishia wananchi adha kubwa sana kwa kitendo ulichokifanya cha kutaka kumfurahisha Meko kumbe unatuumiza sana wananchi
Unarudia kila mara kwamba serikali imepandisha bei kwa faida ya wananchi wapenda bure, lakini wananchi gani unaowazungumzia kuwa wamenufaika na kupandishwa kwa hizi bei? Bei zinaumiza hao wananchi sio wanafaidika, wanaofaidika ni serikali basi. Wananchi ni vilio na makampuni nayo ni vilio sababu bila shaka watumiaji watapungua.
Kama unatoa agizo kama mamlaka halafu agizo linapuuzwa, basi namna bora ya kulinda heshima yako ni kujiuzulu tu.The Government itself is a key player in this saga.
Kitendo cha kuzima Data Networks kwa makampuni yote wakti wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndicho kiini hasa cha gharama hizi za kitapeli.
Kinachoendelea sasa ni kujaribu kuyasaidia haya Makampuni kurudisha hasara walizopata kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2020.
Na hapa ndipo Watanzania wanaweza kuona kama kweli Jiwe au Mwamba alikuwa anasema kweli kuhsu KUWATUMIKIA ETI WATZ WANYONGE....Upuuzi mtupu!!
Hili lilipangwa iwe ni silaha kunyamazisha kabisa jamiiLakini bei zimekuwa zikishuka baada ya kupanda hadi huyu waziri alipoleta huu ujinga wake wa bei elekezi. Binafsi natumia halotel, kwa 1000 nilikuwa napata dk 50 mitandao yote kwa wiki, na5000 napata gb 7 kwa wiki. Kwangu hayo ni matumizi ya wiki nzima na sijawahi kupata bei rahisi kama hizo kabla.
Na hata wangesema wapandishe kwa sababu za gharama za uendeshaji basi pia isingefika huku ambako tumefika leo.
Vilikuwa juu sana kulinganisha wa wapi?..au kulinganisha na kipato chetu?Mimi ngoja niwaulize swali moja tu 'rahisi'
Hivi mnajua kwamba bei za data tayari zilikuwa juu sana kabla ya huu mvurugano wa sasa?
Wakati watu mnalilia vifurushi vya zamani virejeshwe, embu kumbukeni na hilo pia.
Hii sababu umeipata wapi mjomba? Tangu uchaguzi hadi leo mbona mbali sana.The Government itself is a key player in this saga.
Kitendo cha kuzima Data Networks kwa makampuni yote wakti wa Uchaguzi Mkuu 2020 ndicho kiini hasa cha gharama hizi za kitapeli.
Kinachoendelea sasa ni kujaribu kuyasaidia haya Makampuni kurudisha hasara walizopata kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2020.
Na hapa ndipo Watanzania wanaweza kuona kama kweli Jiwe au Mwamba alikuwa anasema kweli kuhsu KUWATUMIKIA ETI WATZ WANYONGE....Upuuzi mtupu!!
HaswaHuyo waziri mnayemtaja alituambia kua wamesha play role ya kuregulate sasa kilichotokea inapaswa AFUKUZWE KAZI hana anachofanya! Over