ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 8,143
- 17,639
nimejaribu kupitia ile video ya jinsi ya ku install mods
lakini nilivyokuja kufungua kwenye game langu kwenye profile hakuna sehemu ya ku edit
profile ina read; create new, delete na continue hakuna edit
msaada tafadhali
Nilianza na scania r,baadae nikanunua man tgx iko vzr sana,nikanunua scania streamline high ndio ninayoiendesha,now nina trucks zangu 3 zote ziko on road,naombea igeuke kuwa maisha halisi ili na mimi niitwe milionea [emoji23]Vp kuhusu man tgx? Umeshawahi kutumia?
Naendesha scania streamline high ipo bomba kinoma napiga mpk spidi 110
Thanxx mkuu,hivyo vitu vyote nimeshafanya,ila naendesha kwa kufuata sheria,kwenye speed 50 naendesha 50,kwenye 60 uwa napiga mpk hizo mia na,natumia barabara za uk ni full sheria,uwa nikitoka km germany,france au kule scandavia ndio kidogo najiachia kule hawapo strictly kwenye sheria za barabaraHiyo ni kmph au mph?
Thats too low kwa kmph. Kwa gari hiyo embu upgrade engine uweke ile ya 730HP na gearbox nzuri pia. Mimi nimeshafika 150+ kmph kwa hiyo gari ikiwa na mzigo. Kichwa tu unagonga 170+. Na ondoa speed limiter.
Nilianza na scania r,baadae nikanunua man tgx iko vzr sana,nikanunua scania streamline high ndio ninayoiendesha,now nina trucks zangu 3 zote ziko on road,naombea igeuke kuwa maisha halisi ili na mimi niitwe milionea [emoji23]
Hahaha, UK ni kero sana, sheria kali kidogo tu unapigwa fineThanxx mkuu,hivyo vitu vyote nimeshafanya,ila naendesha kwa kufuata sheria,kwenye speed 50 naendesha 50,kwenye 60 uwa napiga mpk hizo mia na,natumia barabara za uk ni full sheria,uwa nikitoka km germany,france au kule scandavia ndio kidogo najiachia kule hawapo strictly kwenye sheria za barabara
Mm hela yangu napigwa sn faini za speed ajali mara chache sanaHahaha, UK ni kero sana, sheria kali kidogo tu unapigwa fine
Mm hela yangu napigwa sn faini za speed ajali mara chache sana
Thanxx mkuu,hivyo vitu vyote nimeshafanya,ila naendesha kwa kufuata sheria,kwenye speed 50 naendesha 50,kwenye 60 uwa napiga mpk hizo mia na,natumia barabara za uk ni full sheria,uwa nikitoka km germany,france au kule scandavia ndio kidogo najiachia kule hawapo strictly kwenye sheria za barabara
Pole kwa kupotelewa na pc yako
1.22.3unatumia version gan ya game maana mods zingine uwa sio compartible na version fulani
Volvo ndio natumia. Sema speed haina sana. Unakuta imekimbia sana ni 100Ijaribu volvo mkuu, ndio yenye ingine kubwa kuliko gari zote kwenye game, ina 750HP ikifuatiwa na scania yenye 720HP na labda renault ndo wenye gari mbaya kuliko zote kwenye game pia.
Mm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?Hiyo ni kmph au mph?
Thats too low kwa kmph. Kwa gari hiyo embu upgrade engine uweke ile ya 730HP na gearbox nzuri pia. Mimi nimeshafika 150+ kmph kwa hiyo gari ikiwa na mzigo. Kichwa tu unagonga 170+. Na ondoa speed limiter.
hahaha mkuu umenichekesha sanaWakuu hii game nmecheza tokea nkiwa chuo. Nlikua silali mzee asubui hii hapa. Katika game zote nahisi hii ndo nmeicheza kwa muda mrefu. Saivi nna garage kama 50 iv alaf zote zmejaa magari. Kuna muda natamani igeuke kua reality niwe milionaire
Kuondoa limiter haimaanish hutopigwa fain ya speed...ukikatiza na speed za ajabu maeneo ambayo hayatakiwi ukimbie..utapgwa fain tuMm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?
Kuondoa speed limiter manake unaondoa speed governor kwenye gari, ili likimbie kadiri unavyotaka.Mm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?
Unaondoaje spd limiter?Mm nimeondoa speed limiter lakini bado napigwa fine ya speed. What's wrong?
Kwenye settings kuna mahali unaondoa.Unaondoaje spd limiter?