Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

 
wakuu nisaidieni namna ya kuinstall game kwenye pc. kila ninapojaribu nashindwa
 
Ukitak kuactivate hilo game unafanyeje..maana langu linaishia trailler tu afu linaniambia activate ili nienjoy
Fungua website ya pirates bay then search for ets2 v1.22.2 them download. Kama hauna uttorent app download kwanza hiyo. Then ndiyo udownload kutoka pirates bay.
 
:Hivi iyo ya malori freetrial inacheza kwa time limit dakk 60 au ni moja kwa moja mkuu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…