Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

 

Attachments

  • ets2_00000.png
    229.8 KB · Views: 58
  • ets2_00007.png
    260.5 KB · Views: 53
  • ets2_00006.png
    324.5 KB · Views: 49
  • ets2_00005.png
    214 KB · Views: 56
  • ets2_00004.png
    89.3 KB · Views: 49
Juzi nimeanza kucheza version ya 26 latest + Viva Le France mod na nimeanza profile mpya kabisa, profile ya zamani nilifika level ya 89.. saiz ndo nipo level ya 5..
hii nikiendesha kitu Kamaz...nazipenda hizi gari hasa ukiwa unapiga manual drive.
 
Ntakiwekea soon
mkuu nimesearch kwnye the pirate bay nimepata hizi result hizi..mi nakumbuka kama nilidownload hiyo deluxe edition ila enzi hizo ilikuwa kwenye kick ass amabyo ishafungiwa saiz..so chagua hapo then tumia magnetic link udownload:
The Pirate Bay - The galaxy's most resilient bittorrent site
 

Nipe link nidownload hii version mpya
 
Kamaz mrusi huyoo..hiyo map ni wap
 
Kamaz mrusi huyoo..hiyo map ni wap
Yeah ni mrusi.. Kuna truck mods kama tatu za urusi zote zipo fresh sana.. Map Mod ni ya TSM ver 6.5 hapo ni northen africa maeneo ya tunisia huko...
 
Yeah ni mrusi.. Kuna truck mods kama tatu za urusi zote zipo fresh sana.. Map Mod ni ya TSM ver 6.5 hapo ni northen africa maeneo ya tunisia huko...
Inapga kaz kweny version gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…