Makampuni ya Tanzania katika game la Euro Truck Similator 2

Kamazi hiyo ina horsepower(hp) ngapi?
 
Hili gemu kwenye computer nying linazingua.
I don knw y?
 
Hiyo volvo na benzi zina hp ngapi? Naomba link mkuu.
Hizo zinategemea na upgrade ila zinafika mpaka 680hp.. Zote zipo kwenye site za kudownload mods... Kuna ets2 mods au modland.net ukienda huko utazikuta...
 
Wanangu ndio wanaicheza hio game muda huu. Nimeahangaa sana Tanzania ipo na wao pia wameona ajabu mpaka wameniletea laptop nione. Je ni maendeleo au tuiwekeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…