Makamu Mwenyekiti CHADEMA, comrade Tundu Lissu mbona upo kimya kwenye maridhiano?

Kuna haja ya ku-group members wa JF kwa umri. Mfano mimi abve 30, below 30, below 18. Mana kuna hoja zingine ukijua hii ya mtoto utampa jibu linalomstahili.
 
Wanaukumbi.

SULUHU aliyoleta Rais Samia inamuacha upande gani Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bw. Tundu Lissu.

Je, huu ni USHINDI kwa CCM na serikali yake au Upinzani.

Thinkers” ni lazima tujiulize maswali magumu.

Je, yaliyotokea hayajawahi tokea miaka ya nyuma?

Kikwete hakuwaita wapinzani wote Ikulu?

JPM hakuwaita CHADEMA Mwanza sherehe za Uhuru?
View attachment 2470564
Huwezi kuongea tu bila kufanyia utafiti jambo unalotaka kuongea
 
Kisiasa Mbowe ni senior kwa Mama Samia Hilo halihitaji ubishi.... Mama Samia asingeweza kupita path aliyopita Mbowe na akabakia relevant. Mbowe is Battle-hardened and tested enough kuvuka matatizo mengi kuongoza taasisi kubwa kama Chadema bila kupasuka ila Mama Samia Hana uzoefu na hayo ni zali tu la kuwa mzenji ndio imempa Urais.

Katishwa kidogo tu kakubali katiba mpya.... Mlimbeza sana Mbowe kwenda ikulu Leo mna maoni Gani?
Kwamba Samia kuruhusu katazo ambalo halikuwa sahihi kikatiba ndio unataka nimuone Mbowe ni mwamba kwamba niungane nae kumshukuru Samia?

Labda tusubiri hiyo katiba mpya kama ni kweli, ila hili la mikutano ya kisiasa ni upumbavu mtupu.
 
Lissu alishakutana na Mama Samia na amesema hapa kuwa alilipwa stahiki zake zote so sidhani kama hataki maridhiano.

Pia Jana Chadema walikutana kama kamati kuu kujadili progress ya maridhiano kikao ambacho Kilikua online na Lissu amehudhuria Sasa sielewi hizi drama unazotengeneza ni za nini.

Kwani Lissu hataki katiba mpya? Hataki mikutano? Hataki kurejea nchini? Mnajaribu sana kuitengeneza mgogoro ambao haupo, Chadema ni wamoja na focus ni katiba mpya na tume huru Ili 2025 mafisadi ya CCM yapishe ikulu.
CCm inawajua vizuri hawa.
ukitaka kupunguza kelele zao wape hela tu!
ndiyo shida yao kubwa.
 
Kwamba Lissu aseme "Asante mama kuruhusu mikutano" ? Kama Lissu hakuwa soft kwa chuma wakati hadi tycoons walishanyosha mikono sidhani atakuwa soft safari hii.

Hata mwenendo wa maridhiano inawezekana inamkera ila anatunza heshima ya Mbowe tu. Huo ndio ukweli mchungu, with time tutaijua vizuri CCM.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Samia kuruhusu katazo ambalo halikuwa sahihi kikatiba ndio unataka nimuone Mbowe ni mwamba kwamba niungane nae kumshukuru Samia?

Labda tusubiri hiyo katiba mpya kama ni kweli, ila hili la mikutano ya kisiasa ni upumbavu mtupu.
Ilikua halali sababu sheria ya vyama vya siasa ilifanyiwa marekebisho na bunge na ikatamka kuwa mikutano itafanyika kwa wabunge majimboni pekee. So hata hii ruhusa Ina maana hiyo sheria itabidi ifanyiwe Tena marekebisho kuondoa kipengele hiko Cha katazo la mikutano nje ya ya Jimbo husika. Sasa huoni role ya Mbowe hapo kupindua sheria kandamizi?

2. Rais keshakiri hadharani kuwa mchakato utaanza na ataunda kamati ilete mapendekezo kma ilivyokua ya Warioba. Kumbuka kikosi kazi kilisema katiba isubiri 2025 na kwamba Tume huru ndio itangulie ila meza imepinduliwa huoni Kuna haja ya kumpa credit Mbowe.

Kumbuka wakuu wote wa juu wa majeshi wameondolewa sababu ya maridhiano, wanaofuata ni wabunge 19, baada ya hapo Kuna mawaziri mizigo wataondolewa mpaka kufikia 2025 tuna nchi yenye upinzani imara na serikali inayowajibika.
 
Aisee! Umepatwa na nini mkuu?
 
Bila pressure unadhani Samia angewaita ikulu? Ni lazima ufanye intimidation Ili mtu aone mko serious hawakufanya hivyo kwa JPM na wote tunajua yaliyowakuta!!

Hawa Marais dhaifu unatakiwa uwatishe tishe kidogo maadam hawajazoea mshike mshike basi lazima wakuite ikulu. Na sio tu mikutano walitaka Sirro na Diwani wang'olewe na Mama kakubali!!

Uli under estimate sana nguvu ya Mbowe kwenye siasa za Tanzania ila muda umekua mwalimu mzuri sana. Mikutano hiyooo katiba mpya hiyooo tume huru hiyoooo siku akiwa waziri mkuu wako usikimbie nchi tu.
Mgefanyia presha hizo, nyerere, mkapa au jpm ,,
Nachotaka kuwambia, kitumieni vizuri awamu ya sita, mpate viti vya kutosha bungeni ku effect maamuzi, kwani baada ya Samia,,, Rais anaefuatia, ATAKUA MKALI,,, 😅😂
 
Ilikua halali sababu sheria ya vyama vya siasa ilifanyiwa marekebisho na bunge na ikatamka kuwa mikutano itafanyika kwa wabunge majimboni pekee. So hata hii ruhusa Ina maana hiyo sheria itabidi ifanyiwe Tena marekebisho kuondoa kipengele hiko Cha katazo la mikutano nje ya ya Jimbo husika. Sasa huoni role ya Mbowe hapo kupindua sheria kandamizi?

2. Rais keshakiri hadharani kuwa mchakato utaanza na ataunda kamati ilete mapendekezo kma ilivyokua ya Warioba. Kumbuka kikosi kazi kilisema katiba isubiri 2025 na kwamba Tume huru ndio itangulie ila meza imepinduliwa huoni Kuna haja ya kumpa credit Mbowe.

Kumbuka wakuu wote wa juu wa majeshi wameondolewa sababu ya maridhiano, wanaofuata ni wabunge 19, baada ya hapo Kuna mawaziri mizigo wataondolewa mpaka kufikia 2025 tuna nchi yenye upinzani imara na serikali inayowajibika.
Katiba mpya, bado ni beyond 2025,nionavyo,, katiba mpya haiandikwi kama barua ya posa🤷‍♂️
 
Mgefanyia presha hizo, nyerere, mkapa au jpm ,,
Nachotaka kuwambia, kitumieni vizuri awamu ya sita, mpate viti vya kutosha bungeni ku effect maamuzi, kwani baada ya Samia,,, Rais anaefuatia, ATAKUA MKALI,,, 😅😂
JPM tatizo anakuua tu so ni haki Yao kuogopa unadhani nani anataka kumiminiwa risasi 30? Au kupotezwa kama Mawazo na saa8?
 
Katiba mpya, bado ni beyond 2025,nionavyo,, katiba mpya haiandikwi kama barua ya posa🤷‍♂️
Draft mwaka huu
Bunge ni mwakani
2025 kura ya maoni
So tutaingia uchaguzi tukiwa na tume huru na pengine muungano umekufa na CCM itazikwa rasmi huku Mama akiingia kwenye historia kama mkombozi wa pili baada ya Nyerere.
 
Aisee! Umepatwa na nini mkuu?
Tatizo hampendi facts mnataka ushabiki, zuio lilikuwa halali sababu ya sheria ya vyama vya siasa Sasa unasemaje lilikua batili? Maana mpinzani angefanya mkutano angekamatwa na kufungwa kwa kutumia sheria hiyo hiyo ya vyama vya siasa iliyo limit mikutano ya siasa nje ya majimbo na kabla ya kampeni.
 
Draft mwaka huu
Bunge ni mwakani
2025 kura ya maoni
So tutaingia uchaguzi tukiwa na tume huru na pengine muungano umekufa na CCM itazikwa rasmi huku Mama akiingia kwenye historia kama mkombozi wa pili baada ya Nyerere.
Uchaguzi serikali za mitaa sio mwakani?, Au nabugi?.
Halafu 2025 uchaguzi mkuu,, hatuwezi kwenda na vyote kwa pamoja,, vilevile katiba haiwezi kupita leo, kesho ianze kazi,, bado sheria zitatakiwa kutungwa kuendana na katiba mpya,, itachukua at least two years minimum
 
Jamaa kuna kitu kimemkumba ameweka amejipa matumaini kiasi cha kutoka nje ya uhalisia.
 
Tatizo hampendi facts mnataka ushabiki, zuio lilikuwa halali sababu ya sheria ya vyama vya siasa Sasa unasemaje lilikua batili? Maana mpinzani angefanya mkutano angekamatwa na kufungwa kwa kutumia sheria hiyo hiyo ya vyama vya siasa iliyo limit mikutano ya siasa nje ya majimbo na kabla ya kampeni.
Wanaosema kwamba katazo lilikuwa batili ni kwa hoja ya kwamba hiyo mikutano ya kisiasa ni haki kikatiba, ndio maana wanasema katazo halikuwa halali ndio sababu ya kumtaka Samia aondoe hilo katazo.
 
Mtaji wa kura umeliwa[emoji23] kuna watu wanafaidika na shari. Sasa kilichobaki wajipange na sera. Kitu ambacho hawana maana tumechoka kila siku kuwaskia mkiongelea kasoro tunazozijua. Mnaacha kusema mtafanya nini mnakazana kutafuta huruma ya wananchi.
Nakuhakikishia katika Jambo watakalojuta CCM ya Sasa ni kuruhusu mikutano ya siasa...watatwangwa zaidi ya Wakati wa kikwete na bahati mbaya hawana uwezo wa kujibu hoja.

NB:TUTEGEMEE KUONA MATUMIZI MAKUBWA YA NGUVU YA POLISI SISIEMU KWA SABABU SISIEMU HAWATAWEZA KUZIMA HOJA KWA HOJA.
 
Em kwa haraka haraka nipangie safu ya CHADEMA. Kuanzia Rais, Makamu, Waziri mkuu na wizara hata tano tu. Nimekaa palee
 
Back
Top Bottom