Kuna watu wanakitenganisha chadema na hawa wahuni ili chama kisifutwe. Chini ya Lissu na Heche chadema inaweza kufutwa kwwnye daftari, hasa pale wahuni wanapojitahidi kumkwepesha Lissu na kukiingiza chama kwamba ndicho chenye mkakati ule wa No reforms no election uliozaa vurugu za oct29. Kuna watu ndani ya chama wanataka Lissu na kundi lake waubebe mzigo wao ili chama kibaki salama.Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Baada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Rubbish thread of the dayBaada ya kuandamwa na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka na rasilimali za chama kwa maslahi yake binafsi na familia yake,
Makamu mwenyekiti wa chadema taifa ameendelea kuandamwa na tuhuma mbalimbali, na hivi sasa anaandamwa na tuhuma za usaliti, ambazo zinaelekezwa kwake na baadhi ya viongozi wenzake wa kamati kuu taifa, lakini pia na baadhi ya wanachama wa kawaida wa chadema. Kiongozi huyo anatuhumiwa kuhujumu kwa makusudi msimamo wa chama na kudhoofisha jitihada zote za kuhakikisha mwenyekiti wa chadema taifa anakua huru.
Imeelezwa kwamba,
usaliti wake umetokana na kuwasiliana na mamlaka za serikali kwa siri, lakini pia ni mienendo yake inayoonyesha wazi, makamu mwenyekiti huyo wa chadema taifa, anapendelea zaidi mwenyekiti wake taifa atiwe kitanzi ili yeye aendelee kula mema ya chadema.
Una maoni gani kuhusiana na hili?π
Mungu Ibariki Tanzania
Kikao cha nini?Baada ya kikao wamekuja kwa nguvu
Tlaataa
Trol jf
Lucas mwashambwa
Bado tu kengele ya propaganda za kichovu haijagonga tu?
nikiwafuatilia viongozi wa chadema taifa karibu wote behind the scene, haiba zao zinaonyesha kwamba wangependelea huyu muungwana afungwe jela maisha kanakwamba hiyo kauli ilikua ni yake binafsi kitu ambacho si kweli.Kuna watu wanakitenganisha chadema na hawa wahuni ili chama kisifutwe. Chini ya Lissu na Heche chadema inaweza kufutwa kwwnye daftari, hasa pale wahuni wanapojitahidi kumkwepesha Lissu na kukiingiza chama kwamba ndicho chenye mkakati ule wa No reforms no election uliozaa vurugu za oct29. Kuna watu ndani ya chama wanataka Lissu na kundi lake waubebe mzigo wao ili chama kibaki salama.
Chadema haihusiki na haya hapa maneno:
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/watch/?v=988605313638635