Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.

Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Akiomba kura tu atakuwa kafanya kampeni tunafuta jina kwenye sanduku la kura
 
kuna watu wanabetua midomo hapa..... walitaka Lissu akae ndani kama mfungwa wa kisiasa kwa hizo siku 7 walizomhukumu wa fitna - wabongo bana !!
KUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FAR
HAYA mwache azurure wee kama kala miguu ya kuku non stop with 0.000000000000001 impact!!!
 
Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.

Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Unachokiongea I used to think of it everday ..hawa jamaa wanamikakati sana..trust me mechi ya simba na yanga itakuwa wamenusa Lissu ataenda uwanjani wakaona waisogeze bila sababu za msingi

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Adhabu ya NEC ni kichekesho. Sasa jamaa anapiga campaign kinamna na NEC wala polisi hawana grounds za kumzuia wala kumkamata
Chamsingi asiombe kura basi, akitaka aende na jolly club akaongee na madada poa
 
Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.

Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

Watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Namwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka anayetaka kutumia wananchi wa kawaida kama political shield ya ujeuri wake.
 
wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Mamwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka
Leo mtatapika yote, sijui hii "fake research" ulifanyia wapi?!

Wengi wanaona Lissu kaonewa ndio maana wanazidi kumpenda, wewe unabwabwaja ugoro hapa.
 
wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Mamwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka
Kazi yako ni ngumu sana we mtu
 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Back
Top Bottom