Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

KUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FAR
HAYA mwache azurure wee kama kala miguu ya kuku non stop with 0.000000000000001 impact!!!
Mkuu sasa na nyie acheni kucheza rumba la Lissu - yaani kwa sasa ni kukimbizana hovyo hivyo hapo Lumumba, taasisi za dola zinagongana kimaamuzi kisa Lissu.. aaaaaaahhh.
 
Anaenda Kariakoo kukutana na watu ambao alitaka wafungiwe ndan kisa corona [emoji849] wanasiasa wanajisahau Sana Leo Mange Kimambi na wa ufipa watapost nyomi la Lissu Kariakoo na kusifia watasahau kua hata awali walipost nyomi la corona na kutukana watu wa Kariakoo kua ni wajinga [emoji26][emoji1787]
 
Wewe
Wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!

Watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Namwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka anayetaka kutumia wananchi wa kawaida kama political shield ya ujeuri wake.
Wewe upo kundi gani Kati ya hayo?
 
KUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FAR
HAYA mwache azurure wee kama kala miguu ya kuku non stop with 0.000000000000001 impact!!!
"Wivu sina Ila roho inauma mama [emoji443][emoji443] hata silali hata silali shery [emoji445][emoji445] mama aii aii, shery nabela! [emoji443][emoji445][emoji450]"
Kama nakuona vile YEHODAYA unavyo katika hapo kwa hudhuni! Kunywa maji halafu relax.
 
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Pole kwa muweweseko, unataabika sana
 
Back
Top Bottom