Akiomba kura tu atakuwa kafanya kampeni tunafuta jina kwenye sanduku la kuraTuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.
Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Mimi sina chama ila huyu lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
KUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FARkuna watu wanabetua midomo hapa..... walitaka Lissu akae ndani kama mfungwa wa kisiasa kwa hizo siku 7 walizomhukumu wa fitna - wabongo bana !!
Unachokiongea I used to think of it everday ..hawa jamaa wanamikakati sana..trust me mechi ya simba na yanga itakuwa wamenusa Lissu ataenda uwanjani wakaona waisogeze bila sababu za msingiTuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.
Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Chamsingi asiombe kura basi, akitaka aende na jolly club akaongee na madada poaAdhabu ya NEC ni kichekesho. Sasa jamaa anapiga campaign kinamna na NEC wala polisi hawana grounds za kumzuia wala kumkamata
Siasa ni Sayansi mkuu. Kumbuka hiloAdhabu ya NEC ni kichekesho. Sasa jamaa anapiga campaign kinamna na NEC wala polisi hawana grounds za kumzuia wala kumkamata
Wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!Tuliwaambia Lissu atakuwa anaenda sokoni jamaa akili ndogo wa lumumba wakawa wanachekelea, nashangaa leo wamenuna.
Kamati kuu ya Chadema ikikaa ogopa sana vile vichwa, ni kama vipo ndani ya vichwa vya wengine, jamaa ni kama wanajua unawaza nini, then wao wanakuja na idea two steps ahead of you.
Akikua ataachasasa hii sio vurugu bali ni utukutu!!
Vichwa vyenu vidogo sana, mmesha prove over and over again.akiomba kura tu atakuwa kafanya kampeni tunafuta jina kwenye sanduku la kura
Leo mtatapika yote, sijui hii "fake research" ulifanyia wapi?!wananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!
watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Mamwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka
Kazi yako ni ngumu sana we mtuwananchi wa kawaida wanajua kavunja sheria ya ya tume na hivyo kumuona mkaidi wanaojua kama hajakosea ni wasomi wachache ambao wengi wao hata kupiga kura huwa hawaendi!!!! si rahihi kukuta wakili au jaji kapanga foleni anapiga kura.Kundi analotaka kulionyesha ni much know halina impact sanduku la kura!!
watu wa chini ni law abiding wasiotaka mivutano yoyote na serikali .Mamwelewa Lisu anataka kujionyesha guru wa sheria kwa kuwa mjeuri wa sheria!!! lakini kwa nani hasa anaotaka kuwaonyesha??? ni wavaa suti wa mahakamani na senior government officials ambao impact yao sanduku la kura ndogo wananchi wa kawaida wanajua kafungiwa ila mjeuri anadharau mamlaka
Kwahiyo hutaki watu waende sokoniAkikua ataacha
Tete kwani Kuna aliyekuulizaMimi sina chama ila huyu Lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
Safari hii Lissu hataishia sokoni tu ataenda hadi vyoo vya public kutafuta kuraKwahiyo hutaki watu waende sokoni
Haya mbona mazito tena?Yule mwenzake mwaka mzima alikuwa anahongwa kuku na TISS lakini haikuwa nongwa
Mwanaume majukumu yake ni yapi?Wewe ndio unazeeka vibaya, mwanaume ganu huyajui majukumu yako???
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app