Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Lissu ni mwezi mchanga sijui ilikuwa vipi cdm wakamruhusu kuwa mgombea kabla ya kuangalia afya ya akili yake. Na dalili za hali ya hewa nchini zinaonesha kuelekea 28 oct anga litakuwa limetandwa na mawingu kiasi. Apewe uangalizi wa karibu asije kwenda flyover ya Ubungo ama pale Mfugale na SGR akaanza kuharibu miundo msingi ya JPM kwa kung'oa vyuma na kwenda kuuza sekerepa kwa kanjubhai.
 
Nimekuambia unateseka sana Relax bwana! Usipoangalia uta rest in peace kabla ya 28/10 tukose kura ya Lissu bure maana naamini utaiva tuu na kumpa kura.
Wewe una akili bwana! Hatuwezi kukulinganisha na mizigo mingine kama jingalao Bwana jela Bia yetu MOTOCHINI na utopolo wengine wachache.
 
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Hata akitembea hivyo tu na akasalimiana na watu ni tosha sana.
 
Yawezekana Mkewe yupo jimboni anatafuta kura.
Hana mtu wa kumtuma sokoni.
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…