Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

Kaone haka!

Niteseke kisa hiyo mzee wenu wa faragha?

Lisu hawi rais popote duniani! Ni kibaraka! Hata wananchi anaoenda kitafuta attention kwao wame mu ignore!

Lisu alifikiri ataenda kufunga mitaa ya kariakoo kwa nyomi ila kakuta watu wako busy kitafuta hela isipokuwa kikundi kidogo cha mashabiki wake walikuwa wanamfuata kwa nyuma.

Bahati nzuri hana kura za kumfanya awe rais. Watz hawawezi kuchagua kibaraka.
 
Lisu ni mbumbumbu hajui siasa!

Humo anamo pita wenzie walishapiga kitambo!

Kama hii ndio strategy yake ya ushindi, nawapa pole
Kama hajui siasa usingepoteza mda wako kumzungumzia
 
Reactions: BAK
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Mku sio mpaka aombe kura kuonekana tu kwa watu hata bila kusema kitu ni kampeni
 
Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
wewe ndio mzee uliyekoswa na kumbukumbu kwani mwanaume hanunui nyanya au gubu la kishamba maccm bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…