Kwani evaluation inahitaji kukaa ndani wewe vipi wewe ukimshangaa miguu ya kuku tukushangae wewe na mtindi uliotepetaKUKAA NDANI KUNGEMSAIDIA KUFANYA EVALUATION SO FAR
HAYA mwache azurure wee kama kala miguu ya kuku non stop with 0.000000000000001 impact!!!
Ubunifu na kufanya mambo yako kimkakati na kwa uelewa wa hali ya juu katika kutimiza lengo au adhima yako huwa hatufundishwi darasani..Ni Kipaji anachokupa Mwenyezi Mungu. Ukimfuatilia LISU akiwa anaongea na wafuasi wake (case study kikao cha jana usiku na viongozi wa kanda ya Pwani) utadhani ni nyakati zile Yesu au Yusuph alipokuwa akiongeaa na Mitume wake..yaani watu wanamuelewa mpaka wanakosa kuuliza maswali ya msingi wanauliza tu ili mradi aendelee kuongea kwa ufupi ni kwamba huchoki kumsikiliza aisee akiwa anaongea...Sasa msikilize JIWE akiwa anaongea na Baraza lake la Mawaziri arafu unambie ni kama nani.......mara nyingi woote huwa wanatamani kikao kimalizike upesi na kuondokaMakamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali
Huyu hapa
View attachment 1593096
utasema yote wewe umepewa hadi wizara ya michezo kwa jinsi ulivyo kichwa cha samaki umewahi leta mchango gani kwa taifa endelea tu ukazane humu ukifikili kuna viti maalumu sahau utabaki jamvi la wageni ooh mara, dada poa hivyo hivyoSafari hii Lissu hataishia sokoni tu ataenda hadi vyoo vya public kutafuta kura
DAR wamemfanya kitu kibaya
😆😆😆😆Ubunifu na kufanya mambo yako kimkakati na kwa uelewa wa hali yajuu katika kutimiza lengo au adhima yako huwa hatufundishwi darasani..Ni Kipaji anachokupa Mwenyezi Mungu. Ukimfuatilia LISU akiwa anaongea na wafuasi wake (case study kikao cha jana usiku na viongozi wa kanda ya Pwani) utadhani ni nyakati zile Yesu au Yusuph alipokuwa akiongeaa na Mitume wake..yaani watu wanamuelewa mapka wanakosa kuuliza maswali ya msingi wanauliza tu ili mradi anendelee kuongea kwa ufupi ni kwamba huchoki kumsikiliza aisee akiwa anaongea...Sasa msikilize JIWE akiwa anaongea na Baraza lake la Mawaziri arafu unambie ni kama nani.......mara nyingi woote huwa wanatamani kikao kimalizike upesi na kuondoka
Kaka huyo siyo mwanaume!😂Wewe ndio unazeeka vibaya, mwanaume gani huyajui majukumu yako???
Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
Kila siku wewe ni kulialia kuwa huna chama!😁😁Mimi sina chama ila huyu Lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
Mnateseka sana!Huko sokoni kaenda na mke wake? sasa kununua nyanya nako hadi aende mwenyewe, huyu jamaa mbona anazeeka vibaya? cha msingi asiombe kura atakuwa kafanya kampeni
Kila kona watu kibao huyu jamaa kaletwa na Mungu kwa wakatiMakamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali
Huyu hapa
View attachment 1593106
View attachment 1593105
View attachment 1593096
Ni mawazo yako kwa akili zako ndogo ulizojaaliwa.Mimi sina chama ila huyu Lissu amepotoka hatafika mbali kisiasa
Mi ninachowapendea wanachama Wa chadema hata wawe nyomi vipi hakunaga vurugu ni watu peace kinyama,rejea ile nyomi ya moshi usiku,hakuakuwa na vurugu wala mini full shangwe..Sasa hii sio vurugu bali ni utukutu!!
Jibu zuri sana. Sijui yeye Bwana jela yuko mbali kiasi gani ambako anafikiri Lissu hawezi kufika.Kwa siasa
Kwa siasa za Tanzania unataka afike umbali upi zaidi ya kugombea Urais.
Kifupi amekwisha maliza ngazi zote za kugombea Tanzania
Huna lolote,wewe sema tu unataka aje eneo lako la biashara yako ile kongwe kuliko zote ili ujaribu bahati yako ya kuwa karibu na mteule.Chamsingi asiombe kura basi, akitaka aende na jolly club akaongee na madada poa
Alie barikiwa na Molawho GOD bless, no man curse
Wanamwongezea tl kura za huruma bila wao kutegemea.Leo mtatapika yote, sijui hii "fake research" ulifanyia wapi?!
Wengi wanaona Lissu kaonewa ndio maana wanazidi kumpenda, wewe unabwabwaja ugoro hapa.
Mbona video zenu mmetoa picha na sauti?