Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Huku uswahilini wapo tele na wanafanya mashughuli Kama watoto wa kike kiufupi wanaenjoy ushoga live ....jaman tunaumia mioyo juu ya wanetu Uhuru wao utafanyanya wanaokua kujionea sawa tu.
 
ongeza list tuwajue
 
Kwa ujumla suala la ushoga si tatizo kubwa kiasi cha kuvumishwa ni kubwa. Kama lipo ni dogo sana tena lipo kwenye miji mikubwa michache kama dar, zanzibar na ukanda wa pwani. Miji mingine ya maporini ushoga utoke wapi wakati hakuna role model shoga wa kuigwa kama wale wa dar na zanzibar wanaojisifia wana vitu vikali vya gharama walivyovipata kutokana na kufanya ushoga wao. Mashoga ya siku hizi yame advanced, yako vizuri kiuchumi na ni masafi hayako hohehahe ndio maana yamekuwa tishio kwa mmomonyoko wa maadili. Halafu yanatetewa na mataifa makubwa yanayounga mkono ushoga. Cha kufanya ni ku deal nayo kimya kimya nchi wafadhili wasijue msimamo wa nchi kuhusu ushoga
 
Ila hii nchi c yetu sasa uhuru u wapi
 
Akikamatwa anabonywa kwelkwel
 
Mtu anaiba yeboyebo mnamchoma moto kwa tairi na mafuta
Ila matamasha mnayaangalia tu kwanini msiwachome nao
 
Hata kwenye hizi dini zilizokuja kwa meli kuna mambo. Ili uwe Fulani itabidi ukubali na mchezo unakuwa endelevu.
 
Hapo kwenye Kuwapeleka Kaburini naomba nisikosekane katika Ratiba hiyo na nitaitekeleza Kikatili mno kwani siwapendi hawa Wapuuzi wanaotuharibia Maadili yetu ya Kitanzania.
Nchi imejaa watu aina ya kina lokolelokole tu

Ova
 
Shinyanga upo Sana,Sasa hivi Arusha na Kilimanjaro unaea sana
 
Mkuu samahani kwa Kukuuliza je, Wewe nae ni Shoga / Mwendo? Nitashukuru ukinijibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…