Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango akemea ndoa za jinsia moja

Huku uswahilini wapo tele na wanafanya mashughuli Kama watoto wa kike kiufupi wanaenjoy ushoga live ....jaman tunaumia mioyo juu ya wanetu Uhuru wao utafanyanya wanaokua kujionea sawa tu.
 
1. Ni mwalimu wa chuo kikubwa kabisa cha elimu ya juu pale Dodoma.
2. Dr pale Dodoma kwenye hospitali ya sirikali kubwa iliyopo katikati ya mji.
3. MD kwenye shirika moja kubwa linalo heshimika lenye makao makuu yake maeneo ya mikocheni.
4. Huyu anaitwa Prince, sijawahi kujua anafanya nini lakini anapendelea sana Platinum Bar pale area C.
Na hao wote ni watu wanajiweza kifedha tena sio watu ambao wanajiombeleza vinywaji kama akina sisi tukiwa bar.
ongeza list tuwajue
 
Kwa ujumla suala la ushoga si tatizo kubwa kiasi cha kuvumishwa ni kubwa. Kama lipo ni dogo sana tena lipo kwenye miji mikubwa michache kama dar, zanzibar na ukanda wa pwani. Miji mingine ya maporini ushoga utoke wapi wakati hakuna role model shoga wa kuigwa kama wale wa dar na zanzibar wanaojisifia wana vitu vikali vya gharama walivyovipata kutokana na kufanya ushoga wao. Mashoga ya siku hizi yame advanced, yako vizuri kiuchumi na ni masafi hayako hohehahe ndio maana yamekuwa tishio kwa mmomonyoko wa maadili. Halafu yanatetewa na mataifa makubwa yanayounga mkono ushoga. Cha kufanya ni ku deal nayo kimya kimya nchi wafadhili wasijue msimamo wa nchi kuhusu ushoga
 
Ni habari ya kushitua kwa kiongozi wa juu kukiri kuwepo kwa mapenzi ya jinsia moja. Maana yake kuna tatizo hilo miongoni mwa jamii na wanashangaa mahusiano hayo. Niwaombe msimuingize mama mkenge naye akataoa kauli kisha ikahamia bungeni kutungiwa sheria kuwatia korokoroni wapenzi hao. Tunahofia nchi yetu isije ikawekewa vikwazo vya uchumi kuwa inakadamiza haki za binadamu kwa kuingilia faragha zao. Habari za mashoga nimeanza kuzisoma miaka 20 ishirini iliyopita, tena mashoga yakijiremba kama wanawake na kushiriki shughuli za burudani hadharani hasa muziki wa taarabu na kitchen part. Kulikuwa na mashoga maarufu yale majina yao yalianza na title aunt ... Ina maana serikali haikuona wapenzi hao miaka hiyo? Sasa nini kinawafanya washangae uwepo wa mashoga wakati wapo muda mrefu? Yaani hapa wanaukoleza badala ya kuufifisha. Hebu wasitake kukwaruzana na marekani na washirika wake wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja. Mambo mengine unasukumiwa uingie kingi ili msimamo wako ujulikane, ni mtego wa kuepukwa.
Ila hii nchi c yetu sasa uhuru u wapi
 
Kwa ujumla suala la ushoga si tatizo kubwa kiasi cha kuvumishwa ni kubwa. Kama lipo ni dogo sana tena lipo kwenye miji mikubwa michache kama dar, zanzibar na ukanda wa pwani. Miji mingine ya maporini ushoga utoke wapi wakati hakuna role model shoga wa kuigwa kama wale wa dar na zanzibar wanaojisifia wana vitu vikali vya gharama walivyovipata kutokana na kufanya ushoga wao. Mashoga ya siku hizi yame advanced, yako vizuri kiuchumi na ni masafi hayako hohehahe ndio maana yamekuwa tishio kwa mmomonyoko wa maadili. Halafu yanatetewa na mataifa makubwa yanayounga mkono ushoga. Cha kufanya ni ku deal nayo kimya kimya nchi wafadhili wasijue msimamo wa nchi kuhusu ushoga
Akikamatwa anabonywa kwelkwel
 
Mtu anaiba yeboyebo mnamchoma moto kwa tairi na mafuta
Ila matamasha mnayaangalia tu kwanini msiwachome nao
 
Hata kwenye hizi dini zilizokuja kwa meli kuna mambo. Ili uwe Fulani itabidi ukubali na mchezo unakuwa endelevu.
 
Hapo kwenye Kuwapeleka Kaburini naomba nisikosekane katika Ratiba hiyo na nitaitekeleza Kikatili mno kwani siwapendi hawa Wapuuzi wanaotuharibia Maadili yetu ya Kitanzania.
Nchi imejaa watu aina ya kina lokolelokole tu

Ova
 
Kwa ujumla suala la ushoga si tatizo kubwa kiasi cha kuvumishwa ni kubwa. Kama lipo ni dogo sana tena lipo kwenye miji mikubwa michache kama dar, zanzibar na ukanda wa pwani. Miji mingine ya maporini ushoga utoke wapi wakati hakuna role model shoga wa kuigwa kama wale wa dar na zanzibar wanaojisifia wana vitu vikali vya gharama walivyovipata kutokana na kufanya ushoga wao. Mashoga ya siku hizi yame advanced, yako vizuri kiuchumi na ni masafi hayako hohehahe ndio maana yamekuwa tishio kwa mmomonyoko wa maadili. Halafu yanatetewa na mataifa makubwa yanayounga mkono ushoga. Cha kufanya ni ku deal nayo kimya kimya nchi wafadhili wasijue msimamo wa nchi kuhusu ushoga
Shinyanga upo Sana,Sasa hivi Arusha na Kilimanjaro unaea sana
 
Hivi Mashoga na mnaowala Mashoga Huwa ni wazimu au mnakuwa mmepatwa na nini hasa?

Huyo anaesema Hali ni mbaya amewaona wapi? Kwamba Kuna Watumishi au viongozi wa siasa ni Mashoga?

Nani anaweza nithibitishia hili maana Mimi Kwa umri wangu sijawahi shuhudia Kwa macho hapa Tanzania zaidi ya kuambiwa kama hivi unless Huwa Kuna maeneo maalumu nao wanajiuza kama wanawake lakini hata huko sijawahi ona na sitaki kuona maana nitasikitika sana.
Mkuu samahani kwa Kukuuliza je, Wewe nae ni Shoga / Mwendo? Nitashukuru ukinijibu.
 
Back
Top Bottom