Ukweli siyo fair kufunga masaa 4 kwanini wasifunge hata 30 minutes
Huko Mbeya Mwezi January, ziara ya waziri Mkuu akienda mbarali walifunga barabara kwa masaa 6 kuanzia saa 12 asbh hadi saa 6 mchana. Huko ni kufedhehesha waTanzania
 
Wale walosomea propaganda na vitu vinavyofanana na hivyo watakuwa wanafahamu.

Nakuchafua wewe ninufaike mimi.
Nakufanya uonekane hutumii akil ika mm tu ndo natumia akili.

Tujiulize hao watu walofunga njia hawakujua muda rasm wa mpango kupitaaa? Jibu walikuwa wanafahamu. Sasa swali kwanini wakafunga njia mapemaa hivyooo? Masaa manne n mengi sana. Sasa kwanini walifunga muda woteeee?

Jibu ni kuwa alichelewa kupita kulingana na muda ambao alitegemewa kupita au kufika. Sasa alijuwa wapi hadi kuchelewa kote hukoooo?. Je kulikuwa na update za kuchelewa kwake ambako askari hao wangeambiwa ili wafungue njia ili waje kufungua 30/15min kabla hajapita.

Dar kunaviongoz wengi na kila mara wanaenda na kurud uwanja wa ndege ila njia haifungwi masaa yote. Dar inamagar mengi nadhan kuliko mikoa mingine ila masaa manne si rahisi labda kule kwenye ujenzi wa miundo mbinu.

Kuchelewa kwake kulifanya njia ifungwe kwa muda mrefu ila angefika kulingana na muda ambao ratiba yake ilikuwa imeelekeza hilo tatizo lisingekuwepo.

Mpango hujatendea haki askari walokuwepo katika majukumu yao kuhakikisha usalama wako na walokuwa wanahakikisha unapita salama.

Acha nirudi shuleni nikasome zaid katika propaganda na yale mambo mengine ya kuharibu alafu unakuja na ufumbuzi ili nionekane mm ndo mfumbuzi wa changamoto za wananchi

NALIA NGWENA
 
Simply, nampa pole mtoto wa mkulima Phillip Mpango kwa kuona jinsi machawa wa polisi wanavyoumiza wananchi.
 
Umeongeza chumvi mno,lisaa lizima magari yanapita,wapi uko?
 
Lakini hata kama kuna kuchelewa kwa namna yeyote ile mbona Askari wote wanazo simu za mkononi na pia Radio call wanazo ni vipi wasifanye calculations za masaa ili kujua badala ya saa fulani sasa itakuwa saa fulani na mara moja waruhusu njia iwe wazi kwa magari mengine kupita mpaka muda ukisha karibia wanawasiliana tena na njia inafungwa tena ! Very simple !!
 
Mtumishi yeyote wa uma, anayelipwa kwa mshahara wa kiutararatibu na sheria, kama ametoka katika familia masikini, ataendelea kuwa masikini wa hali fulani ya juu, vinginevyo awe mwizi au fisadi.
Kwa hiyo, makamu wa Rais, anaweza kuwa mtoto wa masikini au yeye mwenyewe kuwa masikini kama siyo mwizi au fisadi kwa kuwa muda mwingi kama siyo wote amekuwa mtumishi wa uma.
Hatutegemei awe masikini kama wa Kijijini kwa kuwa umasikini ni kwa kulinganisha.
 
Usiyoyajua ni usiku wa manane mkuu.
Yaishie hapa tuu maana tunauwezo tofauti na tunajua tofauti.
Elimu hii inauzwa
Nafahau huwez nielewa hapa
 
Kwa kweli ajitafakari....IGP team yake 10mins inatosha sanaa ....watu wana shughuli zao wengine wagonjwa etc
 
Inakera sana ila Mpango hapo kaongea tu kisiasa, uhalisia ànaujua labda kaona noma tu.......kuna siku nimewahi ganda pale Vetenary kama saa moja na nusu kisa mama Salma alikuwa anapita kwenda Airport......... unajikuta unatukana matusi yote maana inaharibu kabisa ratiba yako ya siku
 
Namjua mpango ana maanisha kabisa
Politics, huwezi kumjua mwanasiasa hili si kweli........ mwanasiasa ni mjanja mjanja anajua kutengeneza mazingira ya kuonekana anajali.......ila kiuhalisia si kweli ni kutengeneza public attention tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…