n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Never!! Uchawi ni kwa ajili ya matumbo yao tu !! MTU hufanya uchawi ili afanikiwe yeye sio vinginevyo !Hao ndiyo tuwategemee watuletee maendeleo!!!
Kwani waisrael hawayajui hayo mambo ??!!Umenikumbusha habari ya majini kwamba yana amrishwa. Kila leo waarabu wanapigwa na Israel, hata siku moja sijasikia majini yameamrishwa kumpiga Israel!
Umesomeka vyemaNever!! Uchawi ni kwa ajili ya matumbo yao tu !! MTU hufanya uchawi ili afanikiwe yeye sio vinginevyo !
Hata Makamu mwenyewe atakuwa anatumia hiyo sayansi ya mababu zetu.Alikuwa anajikosha tu."Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo
"Nawaomba tu kuanzia sasa zile Shutuma za Rushwa Ngono tusizisikie pia. Epukeni Ulevi, Majungu na hasa hasa Uchawi bali jikiteni katika Kumuamini Mwenyezi Mungu pekee na siyo kupenda Ushirikina ambao hauna nafasi katika Serikali yetu hii" Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango
Chanzo: Gazeti la Habari Leo la Leo
Ukiwa tu Critical Thinker kwa Kauli hizi Mbili za hawa Waandamizi Wakuu Kikatiba Rais na Makamu wake utagundua kuna Mapungufu makubwa yanayohitaji Mjadala na kwamba huenda Serikali yao inahitaji Msaada mkubwa wa Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kuliko zote zilizopita.
Haya JF Great Thinkers 'tiririkeni' sasa.
KUMBE Serikali ina AMINI kuwa kuna UCHAWI"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo
"Nawaomba tu kuanzia sasa zile Shutuma za Rushwa Ngono tusizisikie pia. Epukeni Ulevi, Majungu na hasa hasa Uchawi bali jikiteni katika Kumuamini Mwenyezi Mungu pekee na siyo kupenda Ushirikina ambao hauna nafasi katika Serikali yetu hii" Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango
Chanzo: Gazeti la Habari Leo la Leo
Ukiwa tu Critical Thinker kwa Kauli hizi Mbili za hawa Waandamizi Wakuu Kikatiba Rais na Makamu wake utagundua kuna Mapungufu makubwa yanayohitaji Mjadala na kwamba huenda Serikali yao inahitaji Msaada mkubwa wa Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kuliko zote zilizopita.
Haya JF Great Thinkers 'tiririkeni' sasa.
Swali zuri Mkuu. Inakuwaje, watu wenye tuhuma za uchawi bado wanapata teuzi... Tena teuzi za juu zaidi nchini...!!Swali sasa ni vipi wameteuliwa?
Dada mzuri vile anakuwaje mchawi hivo aiseeAnafundishwa na dada yake Mwamvita , mh January bila Mwamvita na mama yao ni mtupu kwenye Ndumba chocho zote za burundi, Congo , Nigeria , Ghana , usambaani Mwamvita ndio master
Dada mzuri vile anakuwaje mchawi hivo aisee