Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Pamoja na kuotesha barabara za lami vijijiniHuu uchawi utumike kutuondolea nyumba za tope Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuotesha barabara za lami vijijiniHuu uchawi utumike kutuondolea nyumba za tope Tanzania.
CCM utawaweza. Enzi zile, Mombo kulikuwa na Mzee moja anaitwa Shempasi. Hakuna gari ya Waziri ilikuwa inapita barabara ile bila kusimama kwa yule mzee.Samiah amenikumbusha awamu ya JK wazee wakisema hapana, safari zote zinahairishwa wakikubali mapema sana anapanda mwewe. Si unajua tena dini yetu hii na haya mambo hayatengani naona na yeye anaenda zanzibar kuweka mambo sawa.
Muda wowote safari itakuwepo ya kwenda nje.
Duh..kauli ya rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Anaruhusu mawaziri kula kufuatana na urefu wa kamba zao. Eti anajua wanapata 🙄. Yaani rushwa au upigaji. Hapo kwa kweli ni mzaha mkubwa kwa kiti cha urais. Kile kiapo cha urais kumbe kinaweza kuchezewa tu. Watu wanavimbiwa kwa kula hela ya umma halafu ameketi nao kwenye baraza la mawaziri. Ukivimbiwa lazima ujambe ovyo 🤣🤣Duh. Rip jpm. Tutakukumbuka.Rais fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye Serikali yake kupitia TV ya Taifa hadi credibility ya kumfunda yeyote yule.
View attachment 2080180
Huyu inabidi afungiwe safari ya congo mapema anasaulika, Tanzania hakuna uchawi. Kuna viongozi wanachukua likizo wanaenda lala huko maporini uchi wa mnyama wakipikwa yaani Rais akifika eneo lake ni sifa mwanzo mwisho.Mchawi ni January Makamba ,hata Majaliwa analijua hilo
Tatizo lipo ili mtu awe waziri lazima awe mbunge, kuna watu/watumishi wengi wazuri kwa sifa za kiutendaji hawapo bungeni kwa sababu tu kura hazikutosha na kwenye sanduku la kura za maoni wajumbe walifanya yao kwa chama kilichopo madarakani, ni muda muafaka kwa chama kuandaa wagombea wazuri wenye sifa sio ile ya kujua kusoma na kuandika ambao wapo wengi bungeni mpaka Rais anashindwa kufanya best selection."Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo
"Nawaomba tu kuanzia sasa zile Shutuma za Rushwa Ngono tusizisikie pia. Epukeni Ulevi, Majungu na hasa hasa Uchawi bali jikiteni katika Kumuamini Mwenyezi Mungu pekee na siyo kupenda Ushirikina ambao hauna nafasi katika Serikali yetu hii" Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango
Chanzo: Gazeti la Habari Leo la Leo
Ukiwa tu Critical Thinker kwa Kauli hizi Mbili za hawa Waandamizi Wakuu Kikatiba Rais na Makamu wake utagundua kuna Mapungufu makubwa yanayohitaji Mjadala na kwamba huenda Serikali yao inahitaji Msaada mkubwa wa Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kuliko zote zilizopita.
Haya JF Great Thinkers 'tiririkeni' sasa.
Swali sasa ni vipi wameteuliwa?Makamu wa Rais Dr. Mpango wakati akiwahutubia Mawaziri amedai kuwa kuna Mawaziri wanafanya Majungu na wengine wana tuhuma za Uchawi. This is serious. Kama Mawaziri wanafanyiana uchawi kweli tutegemee hawa hawa wataweza kutuletea maendeleo?
Imagine, kama Mawaziri wanafanyiana hivyo, vipi huko chini yao, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi .... mpaka kwenye mashina yao. No wonder kule kwenye Maria Spaces kuna mtu amedai Maza lazima kila baada ya wiki tatu anakwenda ZNZ kuombewa dua... labda kumuepusha na hawa wa Mainland.
NdumbaSwali sasa ni vipi wameteuliwa?
Makamu wa Rais Dr. Mpango wakati akiwahutubia Mawaziri amedai kuwa kuna Mawaziri wanafanya Majungu na wengine wana tuhuma za Uchawi. This is serious. Kama Mawaziri wanafanyiana uchawi kweli tutegemee hawa hawa wataweza kutuletea maendeleo?
Imagine, kama Mawaziri wanafanyiana hivyo, vipi huko chini yao, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi .... mpaka kwenye mashina yao. No wonder kule kwenye Maria Spaces kuna mtu amedai Maza lazima kila baada ya wiki tatu anakwenda ZNZ kuombewa dua... labda kumuepusha na hawa wa Mainland.
Yaani nchi imeramba garasaRais fisadi anaehamasisha ufisadi kwenye Serikali yake tena kupitia TV ya Taifa hadi credibility ya kumfunda yeyote yule.
View attachment 2080180
Mchawi ni January Makamba ,hata Majaliwa analijua hilo
Hasa hasa Congo DR Mkuu na Kwao TA.Anafundishwa na dada yake Mwamvita , mh January bila Mwamvita na mama yao ni mtupu kwenye Ndumba chocho zote za burundi, Congo , Nigeria , Ghana , usambaani Mwamvita ndio master
Du kumbe kale kadada ni katumwa ka ulozi?Anafundishwa na dada yake Mwamvita , mh January bila Mwamvita na mama yao ni mtupu kwenye Ndumba chocho zote za burundi, Congo , Nigeria , Ghana , usambaani Mwamvita ndio master
Watu wanaloga sana kuelekea 2025, kwa kweli wanahitaji kuombewa...Pale Magogoni ni pamoto sana