Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan

Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo

"Nawaomba tu kuanzia sasa zile Shutuma za Rushwa Ngono tusizisikie pia. Epukeni Ulevi, Majungu na hasa hasa Uchawi bali jikiteni katika Kumuamini Mwenyezi Mungu pekee na siyo kupenda Ushirikina ambao hauna nafasi katika Serikali yetu hii" Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango

Chanzo: Gazeti la Habari Leo la Leo

Ukiwa tu Critical Thinker kwa Kauli hizi Mbili za hawa Waandamizi Wakuu Kikatiba Rais na Makamu wake utagundua kuna Mapungufu makubwa yanayohitaji Mjadala na kwamba huenda Serikali yao inahitaji Msaada mkubwa wa Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kuliko zote zilizopita.

Haya JF Great Thinkers 'tiririkeni' sasa.

Mambo mengine ni mazito mno yanachosha hata kuyasikiliza
 
She misses the suitability principle, All along not equally smothered with the necessary principle. Integrity is the bottom line to the President office bearing traits. Kula ila usile sana hakikisha isiwe rahisi mimi kujua wewe unakula sana, iba ila watu wasijue very interesting with our queen of Tooro.
SIjawahi kushuhudia serikali ya kijinga namna hii tangu tupate uhuru
 
Chifu Hangaya tulimpeleka huko wilayani Magu kumzindika ina maana wawazir na viongozi wachawi wakienda chifu Hangaya anawaona na wanadunda

Nakushauri Makamo wa Raisi na wewe nenda huko wilaya ya Magu ukawekewe Kinga"
 
Kitila Mkumbo alikuwa anaomba Rushwa ya ngono. Mwita mlevi. Uchawi wote tu wachawi hao.Hata Samia kila siku Zanzibar kufanyiwa dua na mashehe full majini.
Ningependa Watu ( Members ) waisome Kiumakini na waielewe vyema hii post yako Mkuu kwa umemaliza Kila Kitu na ina Ukweli wa si tu 100% bali 500% kabisa. Heko...!!
 
Samiah amenikumbusha awamu ya JK wazee wakisema hapana, safari zote zinahairishwa wakikubali mapema sana anapanda mwewe. Si unajua tena dini yetu hii na haya mambo hayatengani naona na yeye anaenda zanzibar kuweka mambo sawa.

Muda wowote safari itakuwepo ya kwenda nje.
 
Hayo ni kawaida. Hata aongoze nani, yanakuwepo. Tofauti ni namna wanavyoyaongelea tu.
Karne ya 21 unasema hata akiongoza nani yatakuwepo umejuaje,bila kuwapa nafasi wengine nao waongoze tulinganishe tupate chakuongea badala kujivika unabii . nfono ushirika ni dalili za upeo mdogo karne ya 21 Dunia ulisha hamia kwenye sayansi na Technologia hapa kwetu bado watu wanacheza na matunguli alafu mnakaa kitako nakungojea maendeleo kweli?
 
Wahuni wameroga mama kawaludisha kundini, wahuni wachawi sana wanakupiga stroke ( kwa sauti ya pole pole )

Wahuni wanaenda mbali Mpaka Ghana kwa msaada wa dAda Yao wa South Africa
 
"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan

Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo

"Nawaomba tu kuanzia sasa zile Shutuma za Rushwa Ngono tusizisikie pia. Epukeni Ulevi, Majungu na hasa hasa Uchawi bali jikiteni katika Kumuamini Mwenyezi Mungu pekee na siyo kupenda Ushirikina ambao hauna nafasi katika Serikali yetu hii" Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango

Chanzo: Gazeti la Habari Leo la Leo

Ukiwa tu Critical Thinker kwa Kauli hizi Mbili za hawa Waandamizi Wakuu Kikatiba Rais na Makamu wake utagundua kuna Mapungufu makubwa yanayohitaji Mjadala na kwamba huenda Serikali yao inahitaji Msaada mkubwa wa Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kuliko zote zilizopita.

Haya JF Great Thinkers 'tiririkeni' sasa.

"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan

Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo

"Nawaomba tu kuanzia sasa zile Shutuma za Rushwa Ngono tusizisikie pia. Epukeni Ulevi, Majungu na hasa hasa Uchawi bali jikiteni katika Kumuamini Mwenyezi Mungu pekee na siyo kupenda Ushirikina ambao hauna nafasi katika Serikali yetu hii" Makamu wa Rais Dk. Philip Isidory Mpango

Chanzo: Gazeti la Habari Leo la Leo

Ukiwa tu Critical Thinker kwa Kauli hizi Mbili za hawa Waandamizi Wakuu Kikatiba Rais na Makamu wake utagundua kuna Mapungufu makubwa yanayohitaji Mjadala na kwamba huenda Serikali yao inahitaji Msaada mkubwa wa Kimaombi kwa Mwenyezi Mungu (Allah) kuliko zote zilizopita.

Haya JF Great Thinkers 'tiririkeni' sasa.

Umbea umbea....
 
Serikali yote imejaa washirikina hata namba moja pia yuko vizuri sana kwenye hayo mambo.
Hayati alipougua mara ya Kwanza ( 2020 ) na Wasaidizi wake kudhani ameshakata Moto ( Kafa ) alipoenda Kumtembelea alikolazwa na kuwakuta akina Pengo ( Kadinali ) wakipiga Injili na Maombi yao ambayo hayakufua Dafu

Ndipo 'Maza' alimuagizia 'Mtaalam' wake Zanzibar aliyepandishwa Ndege 'Fasta' na alipofika alipiga 'Dua' moja tu akishirikiana na Mufti Zubeiry na Mzee ( Hayati ) Kuzinduka ghafla.

Hapo kabla Hayati alikuwa hamkubali na haziivi na 'Maza' kiasi kwamba kuna Kipindi 'Maza' alitaka Kujiuzuru kuwa #2 Kikatiba ila 'Mswahili wa Msoga' akamsihi asifanye hivyo.

Hata hivyo baada tu ya Mtaalam wake huyo Kumuokoa Mkemia ( Hayati ) unaambiwa Hayati alianza Kumheshimu na Kumthamini sana 'Maza' pamoja na Mufti ambaye nae ni mzuri na mzima katika Utamaduni wa Kiswahili anaouchanhanya na Kusoma Kitabu kiasi kwamba hata Klabu yake pendwa ya Simba amekuwa akiisaidia mno na Kufanikiwa hasa katika Michuano ya CAF CL iliyopita.

Kwa leo naomba niishie hapa tu Wakuu.
 
Eeh! Siku ile kamasi zilipengwa kwelikweli, watu walilia sana pongezi kwake muuguzi yule. Heshima yako Comrade 😄✍🏾
 
Nawe pia Comrade Heshima yako sana.
Ila wasukuma kwenye hayo mambo si wako njema? Najiuliza why alikuwa hawatumii vilivyo sema one man order ilichangia kumuangusha sana kwenye utawala wake. Waafrika na elimu zetu zote haya mambo lazma yawepo iwe isiwe.
 
Watu wengi wasio na akili wala elimu hujenga zaidi mategemeo yao kwenye ushirikina.

Kanda ya Ziwa huko, ni wagombea wachache sana kupitia CCM wanaoamini kuwa wanaweza kushinda uchaguzi bila nguvu za giza.

Ikumbukwe:

"CCM inapendwa zaidi na watu wajinga (TWAWEZA)"
 
Ningependa Watu ( Members ) waisome Kiumakini na waielewe vyema hii post yako Mkuu kwa umemaliza Kila Kitu na ina Ukweli wa si tu 100% bali 500% kabisa. Heko...!!
Tatizo kubwa zaidi lipo kwa kiranja wao asiyejua namna ya kuwajibisha wahalifu. Sioni mantiki ya kumfichia dhambi mtumishi wa wananchi.

Tungependa anapotoa hukumu aseme wazi madhambi ya hao anaowaweka pembeni. Mama naye awe na hofu ya Mungu. Asiwafichiefichie dhambi zao kwani hata Mungu hapendi.
 
Back
Top Bottom