Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

Makamu wa Rais Dr. Mpango wakati akiwahutubia Mawaziri amedai kuwa kuna Mawaziri wanafanya Majungu na wengine wana tuhuma za Uchawi. This is serious. Kama Mawaziri wanafanyiana uchawi kweli tutegemee hawa hawa wataweza kutuletea maendeleo!!?

Imagine, kama Mawaziri wanafanyiana hivyo, vipi huko chini yao, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi .... mpaka kwenye mashina yao. No wonder kule kwenye Maria Spaces kuna mtu amedai Maza lazima kila baada ya wiki tatu anakwenda ZNZ kuombewa dua... labda kumuepusha na hawa wa Mainland!!
Ao Wazanzibar ndiyo usipime na wachawi alafu wana hila sana sehemu za kazi! Usiombe kufanya kazi na mpemba alafu akawa na chuki naww utaondoka we mwenyewe ofisin kwa kuacha kazi! Na hatari ao watu! Kule Pemba wanapango lao ilo ata ukienda kuomba kupata Urais unapata usije shangaa kusikia bi tozo ashawahi kwenda kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo, P.Mpango (PhD) hawezi kuongea ujinga kama huo, usitake kumfananisha na kituko chenu.
Kwani PHD ndio nn? Uchawi unafanywa na watu wote mpaka viongozi wa dini wanashiriki uchawi. Watu wasiokuwa na Elimu, Ndio uwaamini wasomo, lakini wasomi ni watu kama wewe, wanatamani na Wana roho kama wengineo, kwa iyo uchawi wanafanya kama kawaida. Na kuna wengineo wamepata elimu kichawi chawi
 
Ao Wazanzibar ndiyo usipime na wachawi alafu wana hila sana sehemu za kazi! Usiombe kufanya kazi na mpemba alafu akawa na chuki naww utaondoka we mwenyewe ofisin kwa kuacha kazi! Na hatari ao watu! Kule Pemba wanapango lao ilo ata ukienda kuomba kupata Urais unapata usije shangaa kusikia bi tozo ashawahi kwenda kule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wapemba na huo uchawi wao mbona kila siku urais wa Zenji wananyanganywa na uchawi wao haujawasaidia kitu?
 
Tunaishi nchi gani zaidi ya hapa nyumbani Tanzania?!!!!

Hivi tunajifanya kutoona kuwa huko mitaani kumejaa wataalamu wa TIBA ZA ASILI?!!!!

Kama wewe si mteja wao je wengine nao si wateja?!!!!

Katika vibiashara vyetu tu vya kuuza KAHAWA NA DAGAA tunayaona mengi ya KUSTAAJABISHA huku wakitamba kuwa kibiashara hakiendi bila ya NGUVU ZISIZOONEKANA.......

MAWAZIRI NAO NI WANANCHI WA TANZANIA NA WENGINE WAMETOKEA HALI ZA CHINI MNO

#Siempre JMT🙏
 
Makamu wa Rais Dr. Mpango wakati akiwahutubia Mawaziri amedai kuwa kuna Mawaziri wanafanya Majungu na wengine wana tuhuma za Uchawi. This is serious. Kama Mawaziri wanafanyiana uchawi kweli tutegemee hawa hawa wataweza kutuletea maendeleo?

Imagine, kama Mawaziri wanafanyiana hivyo, vipi huko chini yao, Makatibu Wakuu, Wakurugenzi .... mpaka kwenye mashina yao. No wonder kule kwenye Maria Spaces kuna mtu amedai Maza lazima kila baada ya wiki tatu anakwenda ZNZ kuombewa dua... labda kumuepusha na hawa wa Mainland.
Ccm ndiyo nyumbani kwa wachawi na wacheza madogori
 
Back
Top Bottom