Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Vifutwe ijulikane ni nchi ya CCM.😂😂Yaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi
Wanajua wakifanya hivyo, mabeberu wanachomoa betri, malumbesa ya madolari inakuwa basi!!
Wanataka kitumbo mbwatata hawataki kitumbo mbwatata!
Everyday is Saturday............................... 😎