Hakuna kitu kibaya kama kuwa tegemezi
Sio watupe technology hapana, bali tupeleke vijana hata 1000 wakasome na serikali iwaqharamie, na hapo tutaongeza vichwa
Kusiwe na upendeleo wapelekwe wale wako vizuri tu kwa kubukua
La sivyo hata tusipowqpigia vigelegele lakini bado bakuli liko palepale