Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Kumpokea Kamala Harris leo 29 Machi, 2023
Elimu inatafutwa popote,tulishaambiwa zama zileee

Hakuna kitu kibaya kama kuwa tegemezi
Sio watupe technology hapana, bali tupeleke vijana hata 1000 wakasome na serikali iwaqharamie, na hapo tutaongeza vichwa

Kusiwe na upendeleo wapelekwe wale wako vizuri tu kwa kubukua

La sivyo hata tusipowqpigia vigelegele lakini bado bakuli liko palepale
 
Twende nao hivyo hivyo tu bila shida wa kelele karibu KAMALA .
 
Kama tunavyojua, VP wa Marekani ameshatua Tanzania. Je, tutegemee kitu gani kutoka safari hii?
 
HATUTAKI USHOGA, HATUTAKI USHOGA.


ZIARA YAKE YA GHANA, KAZUNGUMZIA SUALA LA MASHOGA.

HATUTAKI USHOGA ..

YEYE SAMIA KAMA ANAONA UONGOZI NI KAZI, AACHE, AACHE UONGOZI TUPATE MTU ATAKAYEPINGA USHOGA WAZI WAZI


UJUMBE HUU UMFIKIE SAMIA POPOTE ALIPO
Poleeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HATUTAKI USHOGA, HATUTAKI USHOGA.


ZIARA YAKE YA GHANA, KAZUNGUMZIA SUALA LA MASHOGA.

HATUTAKI USHOGA ..

YEYE SAMIA KAMA ANAONA UONGOZI NI KAZI, AACHE, AACHE UONGOZI TUPATE MTU ATAKAYEPINGA USHOGA WAZI WAZI


UJUMBE HUU UMFIKIE SAMIA POPOTE ALIPO
Kama unaupenda ushoga au kama wewe ni shoga, siyo kwamba umeketewa na mtu. Ushoga siyo pipi au andazi, ambalo mtu anaweza kulibeba na kukuba mkononi.
 
Back
Top Bottom