So what!!!Siku hizi ukihubiri hayo mafundisho utaonekana ni mshamba uliyepitwa na wakati. Hata wachungaji wazee waliohubiri injili hiyo wamebadilika sana. Wameachana na mafundisho hayo, wanachohubiri ni utoaji na baraka tu. Wanaona habari za mpinga kristo na 666 ni kitisho kwa waumini. By the way huo ni unabii na tayari kwa sehemu ulishatimia
just becauseSo what!!!
Wanahubiri vizuri tu. Shida waafrika tuliletewa injili kua inatusaidia tu kwenda mbinguni ila hatukufundishwa kuna injili pia ya namna bora ya kuishi duniani na kurithi baraka tulizoambiwa ni za Ibrahim ambaye tunajua kabisa umaskini haukutajwa kwake.Huo unabii upo pale pale ni lazima utimie hata kama wameacha kuuhubiri
Mafundisho yote mliyo pewa na hao wahuni ni uongo mtupu ...labda wewe unapenda kudanganywa na wahuni wa dini ...mfano ni hiyo 666 ...jibu sahihi kwa asilimia 100% la 666 ni MWILI WAKO MWANADAMU.(666=MWILI WA BINADAMU) je mleta uzi ulisha sikia mtumishi gani au kanisa gani au mitume gani wakisema hivi? ..wote wanakuja na porojo za alinacha.Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo ukitembelea makanisa mengi, msisitizo unaonekana kuhamia kwenye mafanikio, ndoa, biashara, uponyaji, ukombozi na maendeleo ya maisha ya kila siku.
Je, mafundisho kuhusu mwisho wa nyakati yamebadilika?
Au viongozi wameona tafsiri zake zimekuwa zikileta hofu, utata na ubashiri mwingi kiasi cha kuamua kuyaepuka?
Biblia bado inataja namba 666 katika Ufunuo 13:18, lakini Wakristo wa madhehebu mbalimbali wamekuwa na tafsiri tofauti kuhusu maana yake—wapo wanaoiona kama ishara ya mfano (symbolic), wengine huiona kama rejea ya mtu au utawala fulani wa kihistoria, na wengine wanaamini inahusu matukio yajayo.
Hakujawahi kuwa na makubaliano ya tafsiri moja kati ya madhehebu yote.
Swali langu ni hili:
- Kwa nini mada hizi zimepungua sana kwenye mahubiri?
- Ni kwa sababu ya mabadiliko ya teolojia?
- Ni kwa sababu waumini wa sasa wanahitaji mafundisho yanayogusa maisha ya kila siku?
- Au bado zinafundishwa, ila si kwa kiwango cha zamani?
- Mbona zama tulizopo kuna kulazimishana saaana kutumia cashless transactions na kupatiwa namba tambulishi, je walokole hizi ndio dalili za ujio wa 666 na mpinga Kristo?!
Ningependa kusikia maoni yenu, hasa wale wanaohudhuria makanisa ya madhehebu tofauti.
kivipi? FafanuaMafundisho yote mliyo pewa na hao wahuni ni uongo mtupu ...labda wewe unapenda kudanganywa na wahuni wa dini ...mfano ni hiyo 666 ...jibu sahihi kwa asilimia 100% la 666 ni MWILI WAKO MWANADAMU.(666=MWILI WA BINADAMU) je mleta uzi ulisha sikia mtumishi gani au kanisa gani au mitume gani wakisema hivi? ..wote wanakuja na porojo za alinacha.
Nifafanue kitu gani ?kivipi? Fafanua
Wakati hao hao ndo wasambazaji wakuu.Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo ukitembelea makanisa mengi, msisitizo unaonekana kuhamia kwenye mafanikio, ndoa, biashara, uponyaji, ukombozi na maendeleo ya maisha ya kila siku.
Je, mafundisho kuhusu mwisho wa nyakati yamebadilika?
Au viongozi wameona tafsiri zake zimekuwa zikileta hofu, utata na ubashiri mwingi kiasi cha kuamua kuyaepuka?
Biblia bado inataja namba 666 katika Ufunuo 13:18, lakini Wakristo wa madhehebu mbalimbali wamekuwa na tafsiri tofauti kuhusu maana yake—wapo wanaoiona kama ishara ya mfano (symbolic), wengine huiona kama rejea ya mtu au utawala fulani wa kihistoria, na wengine wanaamini inahusu matukio yajayo.
Hakujawahi kuwa na makubaliano ya tafsiri moja kati ya madhehebu yote.
Swali langu ni hili:
- Kwa nini mada hizi zimepungua sana kwenye mahubiri?
- Ni kwa sababu ya mabadiliko ya teolojia?
- Ni kwa sababu waumini wa sasa wanahitaji mafundisho yanayogusa maisha ya kila siku?
- Au bado zinafundishwa, ila si kwa kiwango cha zamani?
- Mbona zama tulizopo kuna kulazimishana saaana kutumia cashless transactions na kupatiwa namba tambulishi, je walokole hizi ndio dalili za ujio wa 666 na mpinga Kristo?!
Ningependa kusikia maoni yenu, hasa wale wanaohudhuria makanisa ya madhehebu tofauti.
Kwanza hilo jambo fundisho lake ni gumu sana kufundisha mpaka mtu akuelewe. Pili naona wachungaji wengi wamegundua kuwa hilo suala ujio wake sio leo Wala kesho ni wakati ujao sana.Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!