N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
- Thread starter
- #21
Kabisa. Udhaifu wao umesababisha watu tunaishi maisha ya dhambi na kujisahau, ukienda church msisitizo mkubwa upo ktk mambo ya mwili fedha na mafundisho kidogo sana ya imani...watu wamekuwa wazinzi waasherati wala rushwa na kubwa zaidi wasiotaka kukosolewaNi kweli, umenena vema, wameibuka wachungaji/wainjilisti wapya wasiojua unabii. Hawa wanahubiri mafanikio ya mwilini tu. Hata uwe mdhambi vipi hutahubiriwa uache dhambi. Habari za mpinga kristo hawazijui na hawazielewi ni ngumu kufundisha na kuzihubiri kwa kuwa wao wenye ni sehemu ya mfumo huo ama kwa kujua au kutokujua
Wachungaji maaskofu mitume na manabii wanawania idadi ya waumini iwe kubwa wanaogopa kuwahubiria ukweli