Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Inawezekana wameona hayo mafundisho yamepitwa na wakati, wameamia kwenye kufundisha kuhusu maji ya upako, bila kusahau umuhimu wa sadaka ya kujimaliza
Unataka kupewa Kesi ya augaidi?Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo ukitembelea makanisa mengi, msisitizo unaonekana kuhamia kwenye mafanikio, ndoa, biashara, uponyaji, ukombozi na maendeleo ya maisha ya kila siku.
Je, mafundisho kuhusu mwisho wa nyakati yamebadilika?
Au viongozi wameona tafsiri zake zimekuwa zikileta hofu, utata na ubashiri mwingi kiasi cha kuamua kuyaepuka?
Biblia bado inataja namba 666 katika Ufunuo 13:18, lakini Wakristo wa madhehebu mbalimbali wamekuwa na tafsiri tofauti kuhusu maana yake—wapo wanaoiona kama ishara ya mfano (symbolic), wengine huiona kama rejea ya mtu au utawala fulani wa kihistoria, na wengine wanaamini inahusu matukio yajayo.
Hakujawahi kuwa na makubaliano ya tafsiri moja kati ya madhehebu yote.
Swali langu ni hili:
- Kwa nini mada hizi zimepungua sana kwenye mahubiri?
- Ni kwa sababu ya mabadiliko ya teolojia?
- Ni kwa sababu waumini wa sasa wanahitaji mafundisho yanayogusa maisha ya kila siku?
- Au bado zinafundishwa, ila si kwa kiwango cha zamani?
- Mbona zama tulizopo kuna kulazimishana saaana kutumia cashless transactions na kupatiwa namba tambulishi, je walokole hizi ndio dalili za ujio wa 666 na mpinga Kristo?!
Ningependa kusikia maoni yenu, hasa wale wanaohudhuria makanisa ya madhehebu tofauti.
siku hizi michango ni mingi kuliko mahubiri na kingine siku hizi ukiwa na pesa hata utende kosa gani kanisani wala hawakutengi kama ilivyokuwa zaman.
Nimeleta hii sledi pendwa kutokana na hoja niliyoipata kwenye moja ya magroup ya Jumuiya huko WhatsApp...kuna mdau alikuwa anaonesha wasiwasi kuhusu sheria mpya ya fedha inayolazimisha malipo yasiyo cash akaanza kusema ni ujio wa 666 na mpinga Kristo mixer....chapa nkHuenda sasa wameelewa teolojia sahihi. Unaposoma unabii katikav biblia lazima utumie Biblical criticism na siyo kusoma kana kwamba unasoma utabiri wa hali ya hewa kwenye gazette. Lazima kwanza ujue mwandishi alikuwa anaandikia hadhira ipi na namnna hadhira ile ilivyoelewa ujumbe ule. Hiyo habari ya 666 na mwisho wz dunia waliandikiwa watu waliokuwa kwenye dhiki kubwa chini ya utawala wa Warumi. Wao walielewa vena kabisa symbolic language.ya kitabu cha Ufunuo. Siku hizi wanatheolojia wanahaha kutafsiri mambo ambayo yalishatokea kuwa ni prophecy to be fulfilled in the future. Mambo ya hovyo tu huko kwenye vyuo vya teolojia.
Kumbe huwa hawana hili fundisho...ila binafsi having grown kwenye famili ya kilokole sehemu moja inaitwa Msekela miaka hiyo nilikuwa nikisikiliza semina za somo la "Nyakati" ilikuwa mwaka 1996 na notibuku ninayo, that's why nikatiririka na hii sledi pendwa maana najua walokole wanalo hili fundisho tangu enzi hizo nikiwa kwa anko mlokole!!Nani alikwambia walokole wanafundisho la chapa ya 666? Hilo ni fundisho la mpagani mmoja anaitwa ELLEN G WHITE anayetukuzwa na wasabato.
Ni wasabato pekee ndo wana hayo mafundisho ya chapa 666Kumbe huwa hawana hili fundisho...ila binafsi having grown kwenye famili ya kilokole sehemu moja inaitwa Msekela miaka hiyo nilikuwa nikisikiliza semina za somo la "Nyakati" ilikuwa mwaka 1996 na notibuku ninayo, that's why nikatiririka na hii sledi pendwa maana najua walokole wanalo hili fundisho tangu enzi hizo nikiwa kwa anko mlokole!!
Huko ni kusoma biblia out of context. Ndio hayo yanawafanya wahubiri kila siku kuleta unabii wa mwisho wa dunia. Daniel aliiambiwa autie muhuri (seal) unabii wake kwa sababu muda wa kutimia bado. Yohana akasmbiwa asiutie muhuri unabii kwa sababu muda wa kutimia uko karibu (soon). Sasa ni miaka zaidi ya elfu mbili. It is always SOON!! Argument ya apologists ni kwamba siku moja kwa mungu ni kama miaka elfu na miaka elfu ni kama siku moja. Hiyo nayo ni out of context if you critically examine the verse.Zamani ukizingua kidogo tu jpli ijayo pastor mwenyewe na sio katibu anatangaza utasikia 'nina tangazo la masikitiko kidogo hapa: "..."kondoo mwenzetu amekula malisho pori..."
Nimeleta hii sledi pendwa kutokana na hoja niliyoipata kwenye moja ya magroup ya Jumuiya huko WhatsApp...kuna mdau alikuwa anaonesha wasiwasi kuhusu sheria mpya ya fedha inayolazimisha malipo yasiyo cash akaanza kusema ni ujio wa 666 na mpinga Kristo mixer....chapa nk
Do we analyze scriptures logically or spiritually?!Huko ni kusoma biblia out of context. Ndio hayo yanawafanya wahubiri kila siku kuleta unabii wa mwisho wa dunia. Daniel aliiambiwa autie muhuri (seal) unabii wake kwa sababu muda wa kutimia bado. Yohana akasmbiwa asiutie muhuri unabii kwa sababu muda wa kutimia uko karibu (soon). Sasa ni miaka zaidi ya elfu mbili. It is always SOON!! Argument ya apologists ni kwamba siku moja kwa mungu ni kama miaka elfu na miaka elfu ni kama siku moja. Hiyo nayo ni out of context if you critically examine the verse.
Kwani mpaka Leo yupo mkiristo ambaye hajuai kuwa mnyama 666 ni Romani Catholic?Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo ukitembelea makanisa mengi, msisitizo unaonekana kuhamia kwenye mafanikio, ndoa, biashara, uponyaji, ukombozi na maendeleo ya maisha ya kila siku.
Je, mafundisho kuhusu mwisho wa nyakati yamebadilika?
Au viongozi wameona tafsiri zake zimekuwa zikileta hofu, utata na ubashiri mwingi kiasi cha kuamua kuyaepuka?
Biblia bado inataja namba 666 katika Ufunuo 13:18, lakini Wakristo wa madhehebu mbalimbali wamekuwa na tafsiri tofauti kuhusu maana yake—wapo wanaoiona kama ishara ya mfano (symbolic), wengine huiona kama rejea ya mtu au utawala fulani wa kihistoria, na wengine wanaamini inahusu matukio yajayo.
Hakujawahi kuwa na makubaliano ya tafsiri moja kati ya madhehebu yote.
Swali langu ni hili:
- Kwa nini mada hizi zimepungua sana kwenye mahubiri?
- Ni kwa sababu ya mabadiliko ya teolojia?
- Ni kwa sababu waumini wa sasa wanahitaji mafundisho yanayogusa maisha ya kila siku?
- Au bado zinafundishwa, ila si kwa kiwango cha zamani?
- Mbona zama tulizopo kuna kulazimishana saaana kutumia cashless transactions na kupatiwa namba tambulishi, je walokole hizi ndio dalili za ujio wa 666 na mpinga Kristo?!
Ningependa kusikia maoni yenu, hasa wale wanaohudhuria makanisa ya madhehebu tofauti.
There is where the stupidity/ blind faith begins. Do not corrupt the meaning the text actually meant by imposing your own theology and call it a spiritual interpretation. That is why we have thousands of Christian denominations and each one claim to be lead by the holy spirit!Do we analyze scriptures logically or spiritually?!
Roman catholic au Roman emperor? !!Kwani mpaka Leo yupo mkiristo ambaye hajuai kuwa mnyama 666 ni Romani Catholic?
Matendo ya Mitume 26:10Roman catholic au Roman emperor? !!
wanadai wakitenga watenda dhambi watapunguza mapato/washirika. Wanadai watenda dhambi ndio hutoa fungu kubwa kuliko waongofu wanaosema wameoka ni watakatifu. Wanasema ukiwafukuza wadhambi unafukuza ATMsiku hizi michango ni mingi kuliko mahubiri na kingine siku hizi ukiwa na pesa hata utende kosa gani kanisani wala hawakutengi kama ilivyokuwa zaman.
Mnyama ni nani? Au ndio tena zile hadithi za enzi za ujinga wa kiteolojia kwamba mnyama ni shetani?? Wake up!!!Matendo ya Mitume 26:10
nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu.
Matendo ya Mitume 26:11
Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
Mnyama yupo kazini akitekeleza maagizo ya Romani Emperor
Alipo maliza hiyo kazi ndio akatengeneza ukiristo
Ukristo ulikuwa fragmented tangu mwanzo. Madhehebu yalikuwa mengi. . Mfalme Connstantine alipotaka kuufanya kuwa dini ya Roman Empire ili kupata political stability aliona itakuwa ngumu if there was no uniform doctrine of faith. Akawaita maaskofu mia tatu kupiga kura kwamba ipi iwe official doctrine ya ukristo itakayotumika kwenye Roman empire. Shida kubwa ilikuwa definition of Jesus. Created or divine of the same substance as God the Father? Maana madhehebu yalitofautiana hapo.Matendo ya Mitume 26:10
nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu.
Matendo ya Mitume 26:11
Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
Mnyama yupo kazini akitekeleza maagizo ya Romani Emperor
Alipo maliza hiyo kazi ndio akatengeneza ukiristo
Nitajie dheebu Moja tu la ukiristo ambolo halikitoka katika ubavu wa Romani Catholic?Ukristo ulikuwa fragmented tangu mwanzo. Madhehebu yalikuwa mengi. . Mfalme Connstantine alipotaka kuufanya kuwa dini ya Roman Empire ili kupata political stability aliona itakuwa ngumu if there was no uniform doctrine of faith. Akawaita maaskofu mia tatu kupiga kura kwamba ipi iwe official doctrine ya ukristo itakayotumika kwenye Roman empire. Shida kubwa ilikuwa definition of Jesus. Created or divine of the same substance as God the Father? Maana madhehebu yalitofautiana hapo.
666 inaeleweka vizuri tu ukisoma Ufunuo wa Yohana kwenye lugha yake asili ,Kigiriki. Walioandikiwa walielewa vizuri sana ni nani huyo. Sasa wakristo wa leo na wanateolojia wanahangaika na tafsiri za hovyo as if kitabu hicho waliandikiwa wao. What a pity!Ni wasabato pekee ndo wana hayo mafundisho ya chapa 666