Makanisa mengi ya kilokole hapa Bongo hayafundishi tena kuhusu Mpinga Kristo & 666. Kulikoni?

Inawezekana wameona hayo mafundisho yamepitwa na wakati, wameamia kwenye kufundisha kuhusu maji ya upako, bila kusahau umuhimu wa sadaka ya kujimaliza
 
Unataka kupewa Kesi ya augaidi?
Huwezi kuukemea Upinga Kristo bila kuigusa Serikali au watu wa serikali.
Hutoboi mwezi bila kamatwa
 
Zamani ukizingua kidogo tu jpli ijayo pastor mwenyewe na sio katibu anatangaza utasikia 'nina tangazo la masikitiko kidogo hapa: "..."kondoo mwenzetu amekula malisho pori..."
siku hizi michango ni mingi kuliko mahubiri na kingine siku hizi ukiwa na pesa hata utende kosa gani kanisani wala hawakutengi kama ilivyokuwa zaman.

Nimeleta hii sledi pendwa kutokana na hoja niliyoipata kwenye moja ya magroup ya Jumuiya huko WhatsApp...kuna mdau alikuwa anaonesha wasiwasi kuhusu sheria mpya ya fedha inayolazimisha malipo yasiyo cash akaanza kusema ni ujio wa 666 na mpinga Kristo mixer....chapa nk
 
Nani alikwambia walokole wanafundisho la chapa ya 666? Hilo ni fundisho la mpagani mmoja anaitwa ELLEN G WHITE anayetukuzwa na wasabato.
Kumbe huwa hawana hili fundisho...ila binafsi having grown kwenye famili ya kilokole sehemu moja inaitwa Msekela miaka hiyo nilikuwa nikisikiliza semina za somo la "Nyakati" ilikuwa mwaka 1996 na notibuku ninayo, that's why nikatiririka na hii sledi pendwa maana najua walokole wanalo hili fundisho tangu enzi hizo nikiwa kwa anko mlokole!!
 
Ni wasabato pekee ndo wana hayo mafundisho ya chapa 666
 
Huko ni kusoma biblia out of context. Ndio hayo yanawafanya wahubiri kila siku kuleta unabii wa mwisho wa dunia. Daniel aliiambiwa autie muhuri (seal) unabii wake kwa sababu muda wa kutimia bado. Yohana akasmbiwa asiutie muhuri unabii kwa sababu muda wa kutimia uko karibu (soon). Sasa ni miaka zaidi ya elfu mbili. It is always SOON!! Argument ya apologists ni kwamba siku moja kwa mungu ni kama miaka elfu na miaka elfu ni kama siku moja. Hiyo nayo ni out of context if you critically examine the verse.
 
Do we analyze scriptures logically or spiritually?!
 
Kwani mpaka Leo yupo mkiristo ambaye hajuai kuwa mnyama 666 ni Romani Catholic?
 
Do we analyze scriptures logically or spiritually?!
There is where the stupidity/ blind faith begins. Do not corrupt the meaning the text actually meant by imposing your own theology and call it a spiritual interpretation. That is why we have thousands of Christian denominations and each one claim to be lead by the holy spirit!
 
Roman catholic au Roman emperor? !!
Matendo ya Mitume 26:10
nami nikayafanya hayo Yerusalemu; niliwafunga wengi miongoni mwa watakatifu ndani ya magereza, nikiisha kupewa amri na wakuu wa makuhani; na walipouawa nalitoa idhini yangu.
Matendo ya Mitume 26:11
Na mara nyingi katika masinagogi yote naliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.

Mnyama yupo kazini akitekeleza maagizo ya Romani Emperor

Alipo maliza hiyo kazi ndio akatengeneza ukiristo
 
siku hizi michango ni mingi kuliko mahubiri na kingine siku hizi ukiwa na pesa hata utende kosa gani kanisani wala hawakutengi kama ilivyokuwa zaman.
wanadai wakitenga watenda dhambi watapunguza mapato/washirika. Wanadai watenda dhambi ndio hutoa fungu kubwa kuliko waongofu wanaosema wameoka ni watakatifu. Wanasema ukiwafukuza wadhambi unafukuza ATM
 
Mnyama ni nani? Au ndio tena zile hadithi za enzi za ujinga wa kiteolojia kwamba mnyama ni shetani?? Wake up!!!
 
Ukristo ulikuwa fragmented tangu mwanzo. Madhehebu yalikuwa mengi. . Mfalme Connstantine alipotaka kuufanya kuwa dini ya Roman Empire ili kupata political stability aliona itakuwa ngumu if there was no uniform doctrine of faith. Akawaita maaskofu mia tatu kupiga kura kwamba ipi iwe official doctrine ya ukristo itakayotumika kwenye Roman empire. Shida kubwa ilikuwa definition of Jesus. Created or divine of the same substance as God the Father? Maana madhehebu yalitofautiana hapo.
 
Nitaji Nitajie dheebu Moja tu la ukiristo ambolo halikitoka katika ubavu wa Romani Catholic?
 
Ni wasabato pekee ndo wana hayo mafundisho ya chapa 666
666 inaeleweka vizuri tu ukisoma Ufunuo wa Yohana kwenye lugha yake asili ,Kigiriki. Walioandikiwa walielewa vizuri sana ni nani huyo. Sasa wakristo wa leo na wanateolojia wanahangaika na tafsiri za hovyo as if kitabu hicho waliandikiwa wao. What a pity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…