Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Kwakweli mpk naogopa
Mtani tabaka ni kubwa sana kati ya masikini na tajiri ila nimejifunza kitu kimoja utajiri hautaki hofu au woga lazima uwe jasiri wa kupindukia ili u handle stress za utajiri vizuri
 
Yeah sure...utajiri mkubwa hauitaji roho ndogo ngoja mm nilidhike na vyangu
 
Dogo alikuwa kajichokea, dini imebadilisha kabisa maisha yake. Ana tembelea Gari, Mercedes Benz G Guard ya zaidi ya bilioni moja.

Sasa kaja kivingine, anahama pale Millennium Tower Phase 2 na kuhamia rasmi Mwenge alikonunua eneo kwa mabilioni ya FEDHA, pale ilipokuwa Century Cinema.

Washikaji, tutafute upako ili tutoboe
KUna mchizi wangu yuko mkoani halafu wilayani ndanindani ila kuna ka population ameanzisha kanisa kimtindo kwa wastani kila jumapili anafunga 2m,,,,wakati wa sikukuu ya mavuno raia wanamletea mifugo ya kutosha nafaka za kila aina jamaa kajenga nyumba ya heshima na ana malori kwa ajili ya dili tofautitofauti
 
Nina kuzoooom
 
Huyo mjamaa anahubiri hadi South pamoja na pastor Uebert Angel .
sawa,yaani anapewa sadaka shingapi kwa misa moja.
mimi mwenyewe nikitaka kusema ni sadaka akili zinaniambia hapana,sadaka sio nyepesi namna hiyo.
 
Sawa kila mtu anamtazamo wake. Halafu misa zake zinakuwa na watu wengi kutoka mataifa mbalimbali na pia pengine ana biashara zake anazozifanya.
 
hapo kwenye biashara zake hapo ndipo kuna point ya kuzingatia.
 
Back
Top Bottom