Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa yanalipa sana! Pastor Tonny Kapola anunua eneo kwa dola milioni tatu Mwenge kwa ajili ya kujenga Kanisa

Makanisa ni ujasiriamali mzuri sana lakini pia ndio sehemu kunakofanyika biashara nyingi haramu
 
Haiingii akilini hata kidogo, kuna something fishy kama ni kweli taarifa yako, hio pesa ni nyingi mno, kwa michango ipi?
 
Pesa za waumini hizo. Halafu unakuta muumini hana hata nyumba au eneo
kama ni rahisi hivyo kupga hela anzsha kanisa na ww kama ingekuwa ni rahisi hivyo vjana wasiokuwa na ajira wangekuwa na makanisa kama yote. Punguza ujinga
 
Hizo hela hazijtoka Kanisani, zimetoka kwa wenyewe wanaopinga Ukristo, zinapitia Kanisan kwa Malengo ya kuutweza Ukristo, Mungu saidia watumishi wa kweli waendelee kufanikiwa
kama unaoushahidi tunauomba hapa hv utumishi wa kweli ni kuwa kapuku YESU mwnyw alikuwa anakula na madoni tu wa fatilia mishe zake MUNGU WA MBINGUNI SI MASKINI MAANA YEYE NDIYE HUTUPAYE NGUVU ZA UTAJIRI.
 
Biashara ya Dini inalipa kinoma,

Ndo maana ROMAN CATHOLIC wanapesa kuliko Serikali yoyote Ile duniani

Roman Catholic wanamiliki Robo ya kipande Cha ardhi yote ya hii dunia
na wewe jaribu kufanya ukute upo hapo ni kapuku mpk kwny nywele halafu unajua namna ya kupga hela kiulaini eti hutaki we mwehu wewe. Unaongea kumsema jamaa na kumuona anastahili hukumu wkt wewe ni mzinzi, mtukanaji, mfiraji, muongo nk yako huyaoni punguza wivu.
 
Yanalipa sana mtaji ni
-maneno mengi vifungu kidogo
-wadada na wamama ukifanikiwa kuwanasa umemaliza kazi
-sauti ya kukoroma "jiyoni yea leo" (in upako voice)
mbona ww ni kapuku huna mbele wala nyuma na unajua namna ya kupata hela kiulaini.
 
Back
Top Bottom