Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sadaka zinafanya kazi makanisa ya mabati tu yale ya Tabata Upogoroni na Kimara bonyokwa labda😂,,, kwa hawa wenye Ministries za kishua kina Kapola na Dale wana deal na mambo mazito zaidi.Pesa ndefu sana napata mashaka kama ni sadaka tu zimempa ukwasi wote huo.