Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌

Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.

Lakini balaa lilianzia hapo!

Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.

Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:

Harakati za usiku

Mabasi ya safari za usiku

Taa za barabarani na stendi

Miundombinu ya usalama

Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."

Maswali yangu kwa wana JF:

1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?

2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?

Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Sitaki kuingilia biffu lenu lakini kwa uhakika Miji iliyoendelea, BUS unatakiwa upandie Bus Stand na siyo Barabarani.

Ni kama Treni huwezi panda Treni vichakani, ina vituo vyake rasmi na ndivyo inapaswa kuwa kwa Buses.

Bus linapaswa liwe Stand na Liwe na Vibao au Electronic Sign kueleza linakwenda wapi kupitia wapi.

Na Kila Bus Linapaswa kuwa na Ofisi yake, Waweke Number za huduma kwa mteja, au Muda wa Bus Kuondoka na linaelekea wapi, ili abiria wake wawe na sehemu ya kuuliza au pa kuanzia.

Siyo kufanya mambo kiholela kama dala dala halafu tuite huo ndio ujanja.
Kwani lazima kupanda basi,yaani upande basi huko kichakani wakati CBE Kuna kila kitu,ukiwa na shida uliza watu wakupe majibu.Hapo Kuna option sabbu Kuna basi zinatoka Kanda ya ziwa na Kuna gari ndogo private na za utalii (Alphad) sasa wewe unataka nini mura,acha ushamba chakata plan yako vizuri na sio kulalamika hivyo.
 
😄😄😂😂😄😂😂🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣😄😄😂😂😄😂Oops Oohs
 
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌

Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.

Lakini balaa lilianzia hapo!

Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.

Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:

Harakati za usiku

Mabasi ya safari za usiku

Taa za barabarani na stendi

Miundombinu ya usalama

Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."

Maswali yangu kwa wana JF:

1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?

2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?

Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Ungewasiliana na mwalimu Mpwayungu kwa further assistance mkuu.
 
Ujuaji mwingi, Kumbe ushamba kibao miaka ya leo tunakata tiketi mtandaoni jombaa na bus kupanda sio lazima uende stand pole sana.***

Kwanza relax, usipandishe pressure kwa ukweli mdogo kama huu. Mimi nilienda Dodoma kwa SGR, kurudi nikapanda basi makusudi nijionee hali ya usiku stendi – siandiki kwa imagination kama nyie wa kwenye wifi mkisubiri bundles za bonus.

Stendi ipo karibu na vichaka, taa nyingi hazifanyi kazi, hakuna mabasi ya kuondoka usiku hiyo ni ground reality, siyo Google na app za tiketi

Halafu kabla hujaendelea na kiherehere cha “mikoa ya matakoni”, kumbuka: sasa hivi niko kwenye ajira safi ya serikali baada ya kuitwa na Utumishi –uko kwenye mamlaka . nalipwa mshahara mara mbili ya yako, na bado nashuka ground kutafuta zaidi. Wewe endelea na ujanja wa comment, sisi tupo real life tukijenga maisha.

Umeniona JF, usifikiri tupo level moja. 😉
 
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌

Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.

Lakini balaa lilianzia hapo!

Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.

Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:

Harakati za usiku

Mabasi ya safari za usiku

Taa za barabarani na stendi

Miundombinu ya usalama

Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."

Maswali yangu kwa wana JF:

1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?

2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?

Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Hayo ndio madhara ya kulazimisha bila uwezo!!
 
Ukweli usemwe Jiji la Dodoma hawajajipanga. Kuna maeneo wamepima mapoli lakini hata barabara za kuchonga hamana watu watajengaje? Maeneo ya Kikombo, Lugala, Ntyuka, Mahomanyika yote yamepimwa viwanja lakini barabara hazijachongwa zaidi ya miaka mitano huu ni utapeli.
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌

Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.

Lakini balaa lilianzia hapo!

Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.

Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:

Harakati za usiku

Mabasi ya safari za usiku

Taa za barabarani na stendi

Miundombinu ya usalama

Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."

Maswali yangu kwa wana JF:

1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?

2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?

Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
 
Kwani lazima kupanda basi,yaani upande basi huko kichakani wakati CBE Kuna kila kitu,ukiwa na shida uliza watu wakupe majibu.Hapo Kuna option sabbu Kuna basi zinatoka Kanda ya ziwa na Kuna gari ndogo private na za utalii (Alphad) sasa wewe unataka nini mura,acha ushamba chakata plan yako vizuri na sio kulalamika hivyo.
Aisee CBE sio Dodoma yote, na si kila mtu anashuka na Alphard kama wewe na ndoto zako za V8.****

Mimi nilienda kwa SGR, nikarudi kwa basi – ground reality nikaiona: stendi ya usiku ni kichaka, taa hakuna, mabasi hakuna. Huu si ushamba, ni uhalisia.

Na by the way, , unahangaika na comments – tunaishi maisha, wewe unawaza options.

Endelea na mbwembwe, sisi tupo kazini na ground tukisema ukweli. 😉
 
Walio kuambia hakuna mabasi ya usiku walikudanganya.
Karne hii ya teknolijia bado unaenda stendi kubajatisha usafiri? Sasa hiyo smartphone yako ina kazi gani?
Haya, kwangu ni ukweli wa macho niliyoiona usiku Dodoma stendi, sio mitaani na maneno ya mtu wa keyboard.

Karne ya teknolojia ipo, lakini bado wengi hatuna chaguo zaidi ya stendi na mabasi kwa safari za usiku. Smartphone yangu kazi yake ni kuona ukweli siyo kuishi kwenye “app fantasy”.

Huku unapojiona smart na kupiga kelele, sisi tunaishi life halisi, na hiyo ndiyo hali halisi usiku Dodoma. Kama haujawahi kushuka usiku, acha kudanganya
 
Ukweli usemwe Jiji la Dodoma hawajajipanga. Kuna maeneo wamepima mapoli lakini hata barabara za kuchonga hamana watu watajengaje? Maeneo ya Kikombo, Lugala, Ntyuka, Mahomanyika yote yamepimwa viwanja lakini barabara hazijachongwa zaidi ya miaka mitano huu ni utapeli.
Ndio kabisa, hali ni hiyo halisi. Dodoma bado ina changamoto kubwa za miundombinu na usimamizi.

Kuna maeneo yamepimwa lakini hayajapokea maendeleo halisi, barabara bado ni changamoto kubwa.

Hii ni changamoto ambayo inahitaji serikali na wananchi kushirikiana kwa dhati kuboresha maisha ya watu
 
Dodoma saa mbili tu maduka yote yanafungwa, tukiachana na online life Dodoma inazidiwa hata na mbeya tu kwa kuchangamka na harakati
Hapo umenena mkuu! Dodoma bado ni jiji kwa jina tu – kimatendo ni kama mji wa kata uliolazimishwa ukuaji.
Saa mbili usiku stendi kimya, maduka yamefungwa, mitaa kama haina roho. Mbeya, Arusha hata Mwanza viko mbali mbele kwenye uchangamfu na maisha ya jiji.
Serikali inatakiwa iangalie hili kwa jicho la pili, vinginevyo Dodoma itabaki ni makao makuu ya ofisi tu, si maisha ya watu
 
Dar imeathiri wengi. Wanaona yale mavurugu ya Kariakoo, Manzese nk ndiyo Mji!!
Sasa mkuu, tusichanganye uhai wa jiji na fujo za mtaa. Kariakoo na Manzese zina harakati za kiuchumi – watu wanafanya biashara, kuna mzunguko wa hela, na maisha yanaendelea hadi usiku.
Dodoma kimya siyo kwa sababu ya utulivu wa asili, ni kwa sababu ya ukosefu wa mpango wa kuwasha maisha ya jiji. Huwezi kuwa makao makuu halafu maisha yanazimika saa mbili.

Jiji linaweza kuwa tulivu, lakini bado likawa hai. Mfano? Arusha. Mwanza. Na hata Mbeya – mambo yapo balanced.
 
Kwani lazima kupanda basi,yaani upande basi huko kichakani wakati CBE Kuna kila kitu,ukiwa na shida uliza watu wakupe majibu.Hapo Kuna option sabbu Kuna basi zinatoka Kanda ya ziwa na Kuna gari ndogo private na za utalii (Alphad) sasa wewe unataka nini mura,acha ushamba chakata plan yako vizuri na sio kulalamika hivyo.
Nadhani hukuelewa hoja yangu, kwanza kumbuka sio kila mtu anaishi Dodoma, pili huwezi kutegemea kuuliza watu barabarani kila kitu mara zote.

Ndio maana nikasema Bus za mikoani ziwe zina simama dtand ya buses za mikoani. Huko CBE hata sikufahamu mimi, hivyo napaswa niende stand ya buses niende kwenye ofisi zao nikute mtu nimuulize na anipe majibu. Na kama hayupo viwepo vibao na number za huduma kwa wateja ili abiria!waweze kupata taarifa za uhakika.

Huo ndio utaratibu.

Tukianza kutumia ujuaji wa mitaani nyie mnajiita street smart sio wote wako hivyo.

Ndio maana unaona Ndege zina ofisi, hatuulizi watu hovyo hovyo airports.
Meli, na hata trains.

Na buses ziwe hivyo.
 
Endeleeni tu kuichafua dodoma ila this time mmefua dafu tunajua mnadanganya 😂😂😂😂 hii ni Dodoma na sio dampo la taka kama dar
 
Hahaaa! Mzee wa “hii ni Dodoma” 😄 unaongea kama mtu aliyezaliwa kwenye ofisi ya TAMISEMI.
Hakuna anayechafua Dodoma – tunaeleza uhalisia: stendi ni kichaka, saa mbili maduka yamefungwa, viwanja vina miaka 5 hakuna barabara.

Na kuhusu Dar kuwa “dampo” – huo ni wivu tu wa maendeleo. Dar ina hekaheka kwa sababu watu wanafanya kitu. Dodoma bado ni kadi ya chama bila injini ya maisha ya watu.
 
Mji mkuu haupswi kuwa na uswahili kama uku dar,pia dom hakuna wazururaji kama dar wengi ni watumishi wana ndinga binafsi pia saivi sgr ndo hutumika sn dom, lakini dodoma ndo kwanza imeanza kujengwa 2015 usitegemee ikue haraka ivo.
Dom ndio mkoa uliopangilwa kuliko mikoa yote bongo asilimia 90 ya ardhi imepimwa, makosa waliyofanya dar hayatojirudia dodoma, Hata Abuja imeanza kujengwa tangu 90's iwe kama ilivyo leo.
Dodoma itakuja kuwa mji bora sana EA baada ya miaka 30 mbele, uzuri wa jiji ni mpangilio tazama miji kama cape town,kigali casablanca.
 
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! 🏙️❌

Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema – nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.

Lakini balaa lilianzia hapo!

Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.

Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:

Harakati za usiku

Mabasi ya safari za usiku

Taa za barabarani na stendi

Miundombinu ya usalama

Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."

Maswali yangu kwa wana JF:

1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?

2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?

Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Unashamba fluni Umeenda kiboya ndugu, mabasi ya Dodoma to Dar huanzia safari zao kwenye ofisi zao, hapo stand hupita kuchukuwa abiria wa hapo..
 
Back
Top Bottom