Hivi nyie mnaopenda kujitetea kwa barabara za lami ndo huwa mnaishi kwenye barabara hizo au mnaweka godoro stand ya Magufuli?
Mtu anauliza kuhusu hali ya usiku, usafiri, na uhai wa jiji baada ya saa mbili – wewe unaleta PowerPoint ya miundombinu. Huko ndo kufeli kuelewa hoja kwa staha.
Hata nikikaa siku moja tu Dodoma, kama ninatembea kwa miguu usiku, nikaona stendi ipo maporini, taa zipo ila watu hakuna, mabasi manne tu – hiyo ni experience halisi, sio fantasy ya mijadala ya ofisini.
Na ushauri wako wa “rudi Facebook na MEMKWA” ni dhaifu sana. Haujibu hoja, unajificha kwenye kejeli za kizamani. Siku nyingine ukiona mtu amegusa udhaifu, badala ya kukanusha kwa mikwara, jibu kwa hoja. Otherwise, hiyo keyboard yako inapiga makelele tu bila substance.