Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! ποΈβ
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema β nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.
Lakini balaa lilianzia hapo!
Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.
Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:
Harakati za usiku
Mabasi ya safari za usiku
Taa za barabarani na stendi
Miundombinu ya usalama
Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."
Maswali yangu kwa wana JF:
1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?
2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?
Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Kwani lazima kupanda basi,yaani upande basi huko kichakani wakati CBE Kuna kila kitu,ukiwa na shida uliza watu wakupe majibu.Hapo Kuna option sabbu Kuna basi zinatoka Kanda ya ziwa na Kuna gari ndogo private na za utalii (Alphad) sasa wewe unataka nini mura,acha ushamba chakata plan yako vizuri na sio kulalamika hivyo.Sitaki kuingilia biffu lenu lakini kwa uhakika Miji iliyoendelea, BUS unatakiwa upandie Bus Stand na siyo Barabarani.
Ni kama Treni huwezi panda Treni vichakani, ina vituo vyake rasmi na ndivyo inapaswa kuwa kwa Buses.
Bus linapaswa liwe Stand na Liwe na Vibao au Electronic Sign kueleza linakwenda wapi kupitia wapi.
Na Kila Bus Linapaswa kuwa na Ofisi yake, Waweke Number za huduma kwa mteja, au Muda wa Bus Kuondoka na linaelekea wapi, ili abiria wake wawe na sehemu ya kuuliza au pa kuanzia.
Siyo kufanya mambo kiholela kama dala dala halafu tuite huo ndio ujanja.
Ungewasiliana na mwalimu Mpwayungu kwa further assistance mkuu.Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! ποΈβ
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema β nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.
Lakini balaa lilianzia hapo!
Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.
Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:
Harakati za usiku
Mabasi ya safari za usiku
Taa za barabarani na stendi
Miundombinu ya usalama
Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."
Maswali yangu kwa wana JF:
1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?
2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?
Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Ujuaji mwingi, Kumbe ushamba kibao miaka ya leo tunakata tiketi mtandaoni jombaa na bus kupanda sio lazima uende stand pole sana.***
Kwanza relax, usipandishe pressure kwa ukweli mdogo kama huu. Mimi nilienda Dodoma kwa SGR, kurudi nikapanda basi makusudi nijionee hali ya usiku stendi β siandiki kwa imagination kama nyie wa kwenye wifi mkisubiri bundles za bonus.
Stendi ipo karibu na vichaka, taa nyingi hazifanyi kazi, hakuna mabasi ya kuondoka usiku hiyo ni ground reality, siyo Google na app za tiketi
Halafu kabla hujaendelea na kiherehere cha βmikoa ya matakoniβ, kumbuka: sasa hivi niko kwenye ajira safi ya serikali baada ya kuitwa na Utumishi βuko kwenye mamlaka . nalipwa mshahara mara mbili ya yako, na bado nashuka ground kutafuta zaidi. Wewe endelea na ujanja wa comment, sisi tupo real life tukijenga maisha.
Umeniona JF, usifikiri tupo level moja. π
Hayo ndio madhara ya kulazimisha bila uwezo!!Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! ποΈβ
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema β nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.
Lakini balaa lilianzia hapo!
Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.
Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:
Harakati za usiku
Mabasi ya safari za usiku
Taa za barabarani na stendi
Miundombinu ya usalama
Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."
Maswali yangu kwa wana JF:
1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?
2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?
Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! ποΈβ
Wakuu, nashindwa kuvumilia hili nisilitupie JF. Nilikwenda Dodoma hivi majuzi kwa ajili ya interview, nikasema acha nipange basi kwenda mapema β nifanye interview asubuhi, nimalize mambo yangu, then nitafute basi la kurudi usiku huo huo.
Lakini balaa lilianzia hapo!
Baada ya interview nikawa nime enda restaurant fulani nikiikilia interview nikakimbilia stendi jioni kuelekea usiku, nikashangaa stendi yenyewe ipo pembeni kabisa karibu na kichaka! Ukishuka tu, unasafiri kwa miguu kwenye njia za bush hadi ufike ndani ya stendi. Yaani taa nyingi hazifanyi kazi, na hakuna hata ulinzi wa maana. Usiku ule nikaona mabasi matatu tu ndani ya stendi. Nikauliza nikaambiwa:
"Dodoma hakuna mabasi ya kuondoka usiku. Yale yalikuwepo ndiyo yamebaki hapa kwa kesho.
Nikabaki najiuliza: hivi tunalazimisha Dodoma kuwa makao makuu kwa nguvu za kiserikali tu au kuna mpango wa kuiendeleza kweli? Mji mkuu wa nchi unakosa:
Harakati za usiku
Mabasi ya safari za usiku
Taa za barabarani na stendi
Miundombinu ya usalama
Sasa kama mimi mgeni ningeibiwa pale au hata kushambuliwa, nani angenisaidia? Hii ni aibu kwa mji unaoitwa "Makao Makuu ya Taifa."
Maswali yangu kwa wana JF:
1. Kwa nini Dodoma bado haijawa na maisha ya usiku licha ya kuwa makao ya Serikali?
2Tunalazimisha au tunajenga maendeleo ya kweli?
Naomba tupige stori bila chuki, lakini kwa uzalendo wa kweli.
Aisee CBE sio Dodoma yote, na si kila mtu anashuka na Alphard kama wewe na ndoto zako za V8.****Kwani lazima kupanda basi,yaani upande basi huko kichakani wakati CBE Kuna kila kitu,ukiwa na shida uliza watu wakupe majibu.Hapo Kuna option sabbu Kuna basi zinatoka Kanda ya ziwa na Kuna gari ndogo private na za utalii (Alphad) sasa wewe unataka nini mura,acha ushamba chakata plan yako vizuri na sio kulalamika hivyo.
Haya, kwangu ni ukweli wa macho niliyoiona usiku Dodoma stendi, sio mitaani na maneno ya mtu wa keyboard.Walio kuambia hakuna mabasi ya usiku walikudanganya.
Karne hii ya teknolijia bado unaenda stendi kubajatisha usafiri? Sasa hiyo smartphone yako ina kazi gani?
Ndio kabisa, hali ni hiyo halisi. Dodoma bado ina changamoto kubwa za miundombinu na usimamizi.Ukweli usemwe Jiji la Dodoma hawajajipanga. Kuna maeneo wamepima mapoli lakini hata barabara za kuchonga hamana watu watajengaje? Maeneo ya Kikombo, Lugala, Ntyuka, Mahomanyika yote yamepimwa viwanja lakini barabara hazijachongwa zaidi ya miaka mitano huu ni utapeli.
Hapo umenena mkuu! Dodoma bado ni jiji kwa jina tu β kimatendo ni kama mji wa kata uliolazimishwa ukuaji.Dodoma saa mbili tu maduka yote yanafungwa, tukiachana na online life Dodoma inazidiwa hata na mbeya tu kwa kuchangamka na harakati
Dar imeathiri wengi. Wanaona yale mavurugu ya Kariakoo, Manzese nk ndiyo Mji!!Mkazi wa Dar akikutana na mji umejengwa kimpangilio anakuwa kama kachanganyikiwa.
Sasa mkuu, tusichanganye uhai wa jiji na fujo za mtaa. Kariakoo na Manzese zina harakati za kiuchumi β watu wanafanya biashara, kuna mzunguko wa hela, na maisha yanaendelea hadi usiku.Dar imeathiri wengi. Wanaona yale mavurugu ya Kariakoo, Manzese nk ndiyo Mji!!
πWenyewe wanakuambiaga hapa ndo mjini. Unabaki tu unajiuliza hawa wamewahibkufika kwenye miji yenyewe?Dar imeathiri wengi. Wanaona yale mavurugu ya Kariakoo, Manzese nk ndiyo Mji!!
Nadhani hukuelewa hoja yangu, kwanza kumbuka sio kila mtu anaishi Dodoma, pili huwezi kutegemea kuuliza watu barabarani kila kitu mara zote.Kwani lazima kupanda basi,yaani upande basi huko kichakani wakati CBE Kuna kila kitu,ukiwa na shida uliza watu wakupe majibu.Hapo Kuna option sabbu Kuna basi zinatoka Kanda ya ziwa na Kuna gari ndogo private na za utalii (Alphad) sasa wewe unataka nini mura,acha ushamba chakata plan yako vizuri na sio kulalamika hivyo.
Hahaaa! Mzee wa βhii ni Dodomaβ π unaongea kama mtu aliyezaliwa kwenye ofisi ya TAMISEMI.Endeleeni tu kuichafua dodoma ila this time mmefua dafu tunajua mnadanganya ππππ hii ni Dodoma na sio dampo la taka kama dar
Unashamba fluni Umeenda kiboya ndugu, mabasi ya Dodoma to Dar huanzia safari zao kwenye ofisi zao, hapo stand hupita kuchukuwa abiria wa hapo..Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji! ποΈβ