Makao Makuu Gani Haya? Dodoma Usiku ni Kama Kijiji!

Itakuwa Dodoma ya Zanzibar hiyo, Dodoma ninayoujua mie Haina shida ya usafiri, ungeuliza wenyeji.

Kwanza unaenda stand kufanya nini, unategemea utapata usafiri stand?
 
Kinachofanya mji uchanganke sio majengo ya ghorofa, majumba ya starehe wingi wa magari bali ni shughuli za kibinadamu zenye uhitaji zinazoambatana na fursa za utafutaji na kipato kinachopelekea matumizi.

Dodoma inajengeka taratibu lakini kuilinganisha na Dar es salaam ambako idadi ya watu na mzunguko wa pesa wa watu million tano, ni vitu viwili tofauti. Baada ya miaka 10 kuanzia sasa Dodoma itakuwa mwao....Labda!.

Mwaka huu mwanzoni nilipita Dodoma kama transit... Nilikuwa na muda wa masaa 8 ya kuivinjari Dodoma na budget ilikuwepo, nilitafuta tax driver mzoefu pale anipeleke sehemu anayoamini ndio Icon ya mji ule kwa mtu anayehitaji kutumia pesa yake kwa maana ya utalii wa ndani....Ilishindikana!.

Sehemu zote alizonipeleka na kunionyesha naweza kusema tu hazifai labda ujilazimishe kuridhika. Mwisho wa yote niliamua kwenda kushinda SGR_TZ hadi nilipoondoka Dom saa 12 jioni.

Najuta tu kuwa nilisahau kwenda Msalato kwenye mahakama ya wanyama kula nyama choma.
 
Kinachofanya mji uchanganke sio majengo ya ghorofa, majumba ya starehe wingi wa magari bali ni shughuli za kibinadamu zenye uhitaji zinazoambatana na fursa za utafutaji na kipato kinachopelekea matumizi
Kwa kukusaidia tu Dom wanaongoza mapato ya halmashauri Tanzania na mapato ya TRA wapo top 5
Ubora wa mji wowote duniani haupimwi kwa eti "kuchangamka usiku" ingekua hivyo nadhani Las Vegas ingekua inaongoza Marekani kupita hata New York au Los Angeles.

Dodoma wanaongoza Tanzania kwa mipangomiji bora,miundombinu,mtandao mpana wa barabara za lami,miradi mingi inayojengwa na inayotarajiwa kujengwa n.k
 
Nadhani unachanganya mambo.. mtoa mada kazungumzia Jiji la Dodoma sio mkoa wa Dodoma
 
Hata ukiwa na kipaji cha roho mbaya,kuna mda jifunze hata kuona aibu kusema uongo.
 
We unasema dodoma ya somalia au? Coz naona umeandika upupu tu kuhusu jiji letu la ddm
 
Mkuu,Maisha ya Usiku yanajengwa na Spending Power,Attractions,Activities,Security and Safety na Populations.Sasa Dodoma Kwa design yake ya Sasa na Economic Structure yake bado inahitaji uwekezaji mkubwa na Pouplation Kubwa ili iwezeo kuwa na Active Life Usiku na Mchana.

So Kimsingi Night life Haijengwi kwa matamshi bali kwa engagement.
 
Mkuu umeandika thesis ya uchumi, lakini ground bado ni giza na vichaka. Huku tunazungumzia maisha halisi ya watu, si presentation ya PowerPoint.

SGR inafika Dodoma lakini mtu akishuka usiku anabaki na swali: โ€œJe, niko Tanzania au nimeingia bush safari?โ€

Nightlife haitaki grammar, inataka mwanga, watu na shughuli. Hadi basi la usiku lipatikane bila kuomba dua.
 
Kwahiyo unaona Daslam ndo jiji la maana mshamba wewe?
Basi kama kuipenda Dodoma ni lazima kubeza Dar, umeshindwa somo la mijini.
Jiji la maana si lile lenye title โ€“ ni lile linaloishi. Ukiamua kuipenda Dodoma, usibandike stress zako kwa Dar.
Na kuhusu mshamba... mtu anayepanic kwa kutajwa stendi kimya ndiye mshamba. Ulikuwa stendi lini mkuu? Au unasimulia
 
We unasema dodoma ya somalia au? Coz naona umeandika upupu tu kuhusu jiji letu la ddm
Acha hasira za kizalendo kipofu kaka ๐Ÿ˜‚

Hatusemi Dodoma ni Somalia, ila usiku bila mwanga wala magari unaweza hisi uko kwenye Survivor Bush Edition.
Sema ukweli ukomboe jiji โ€“ siyo kila anayesema changamoto ni "anaharibu jina".
 
Tanzania yote maisha ya usiku yanaanza Alhamis
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Maisha kuanza Alhamisi si hoja ya msingi โ€“ maana hata disco likiwa limefunguliwa, kama taa za stendi hazipo na usafiri hakuna, utacheza mziki kwa torch light?
 
Dodoma ipi unazungumzia mzee
Dodoma ya kuingia saa 2 usiku ukakuta basi 3 tu na stendi kimya kama msitu wa hifadhi, taa hakuna, njia ni vichaka.
Kama wewe unajua Dodoma nyingine yenye hekaheka na mwanga usiku, basi labda unaishi kwenye Dodoma ya Google Earth, si ya ground.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Maisha kuanza Alhamisi si hoja ya msingi โ€“ maana hata disco likiwa limefunguliwa, kama taa za stendi hazipo na usafiri hakuna, utacheza mziki kwa torch light?
Bado unapanda mabasi wenzio wako kwenye SGR
Ila masikini wenzio usiku wanapandia pale CBE malori
 
Wenzake wanapandia gari Makole yeye unapuyanga kwenda 8 8 usiku.
 
Masaa ya ofisi za serikali / bunge ni asubuhi , mchana hadi jioni , SIYO USIKU.

Sasa wewe ulikuwaunatafuta MACHANGU au Mabasi ?
Abiria mmoja mabasi matatu hayakutoshi ?

Kumbukakuwa, makao makuu yanapaswa kuwa katika mkoa ambao una utulivu na upo in-ze mido ya nchi , ili waheshimiwa waweze kukutana kwa urahisi na waweze kufocus. Ndiyo maana Dar haina sifa ya kuwa makao makuu ya nchi, makelele ni mengi, hali mbaya ya hewa, mabasi ni mengi sana [ sori nimemaanisha machangu]
Kila la kheri mkuu, I hope ulikuwa mbunifu ukatumia mkono kujituliza baada ya kutofanikiwa kupata mabasi ya usiku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ