Ndio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.ugaidi wa laki 6[emoji3061]
sababu za kesi kufutwa unazijua?, na wakati gani kesi ikifutwa inaweza kurudishwa mahakamani?Ndio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.
kesi imeondolewa haijahitimishwa na mahakama maana yake inaweza kurudishwa muda na wakati wowote.
Hivyo Mbowe na wenzake ni vyema wakabadilika na kuachana kabisa na mipango ya kihalifu, Endapo Mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru angekuwa amesafishika lkn sio kwenye hatua hii.
Jambo la msingi abadilike.....na awe mzalendo kwa Taifa lake.
Kwan na nyie mnaishi chamwino??Kwani wanaishi humo humo?
kasome CPA S.91, 98Ndio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.
kesi imeondolewa haijahitimishwa na mahakama maana yake inaweza kurudishwa muda na wakati wowote.
Hivyo Mbowe na wenzake ni vyema wakabadilika na kuachana kabisa na mipango ya kihalifu, Endapo Mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru angekuwa amesafishika lkn sio kwenye hatua hii.
Jambo la msingi abadilike.....na awe mzalendo kwa Taifa lake.
Kiukwel hawajaonyesha utu.Halimaa amenishangaza sana.Kwel kumjua mtu ni kaz sanaNi mwaka tu aisee muda bado wacha waingie wengine wale japo miaka mitath ijayo hao nao wasugue bench kwanza halima na wenzie hawana shukrani Wala utu.
Kwahiyo Ufipa st ni Ikulu?Kwan na nyie mnaishi chamwino??
Kwan mbona na wewe una ikulu yako hapo chini mtaa wa katiKwahiyo Ufipa st ni Ikulu?
Bure kabisa bwashee!
Hatimae Haki Imeshinda.Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake , Kinondoni mtaa wa ufipa , bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi .
Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba .
Jionee mwenyewe
View attachment 2138527View attachment 2138528
Kesi ya Jinai haiozi hata baada ya miaka 20 inawezekana akaja DDP mwengine akaifufua kesi na ikaanza upya.sababu za kesi kufutwa unazijua?, na wakati gani kesi ikifutwa inaweza kurudishwa mahakamani?
au ndio story za kwenye vijiwe vya kahawa?
mzee msingi wa kufuta kesi ni nini? twende kisheria mzee, kukosekana kwa ushahidi ama? kasome CPA S.91 NA S.98 bwege weweKesi ya Jinai haiozi hata baada ya miaka 20 inawezekana akaja DDP mwengine akaifufua kesi na ikaanza upya.
jambo la msingi hapa ni Mbowe kubadilika na kuachana na vitendo vya kihalifu.
Ni siku ya ushindi kwa wapenda haki.Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake , Kinondoni mtaa wa ufipa , bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi .
Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba .
Jionee mwenyewe
View attachment 2138527View attachment 2138528
|Wavae barakoa aseeBaada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake , Kinondoni mtaa wa ufipa , bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi .
Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba .
Jionee mwenyewe
View attachment 2138527View attachment 2138528
Tamaa na ukweli hazikai sehemu mojaBaada ya mateso yote na safari ngumu alopitia katika kukuza jina na career yake mwishowe akakubali kuishia vile?
Nimemsikitikia sana Halima.
Kwani na wewe MATAGA walikukosea nini!??Nimejiuliza tu, baada ya haya Halima Mdee anajionaje?
Anajisikiaje?
Futa machoziOfisi mbona hamuonyeshi hiyo kama banda kama la kufuga kuku
Mumekula hela za wafadhili wa Ndani na nje ofisi hamjengi
BBC ,nk mkichukua picha chukueni na picha ya hiyo ofisi ulimwengu uone pesa zao zilivyoliwa
Kwa kweli kwa hili inapaswa wajiongeze!Ofisi ipo kichochoron huko eti makao makuu gan yapo kama store ya mkaa?
Bahati mbaya Sasa, mwajiri wao nae amesha wakimbia, huku akiwauzia mbuzi kwenye gunia, kuja gutuka wameuziwa wow wowπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈβΉοΈUsaliti ni laana
Achana na ofisi kuwa vichochoroni,porini au ziwani...sisi tunajua kamanda yupo huru, njoo upate hata banana mbili tatu...hapa kwa mtogoleOfisi ipo kichochoron huko eti makao makuu gan yapo kama store ya mkaa?