KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hili linajadilika. Nadhani mada mpya juu yake ni stahili.Kwa bunge la sasa ni muhimu CHADEMA ikawa na sauti kwa niaba ya wananchi kuliko kususa tukawaacha wananchi wasiwe na sauti za kuwasemea.
Mpaka sasa utakua umepata picha ni madudu mangapi yamepita kwakua tu kuna sauti moja ya CCM bungeni.
To me naona tsa good move.
Tatizo la baadhi ya watanzania kupenda kuwasifu wezi, ukiiba sana na kujenga, kununua magari na kutoa ofa baa utasifiwa na nyimbo utatungiwa. CCM ni chama ambacho kimetuibia sana mali za wananchi na baadhi yetu eti tunakisifu kwa utajiri!Ofisi ipo kichochoron huko eti makao makuu gan yapo kama store ya mkaa?
Mzee Mdee anasubiria kustaafishwa kwenye siasa!Nimejiuliza tu, baada ya haya Halima Mdee anajionaje?
Anajisikiaje?
Usidanganye watu....Baada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi.
Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba.
Jionee mwenyewe
View attachment 2138527
Baada ya mateso yote na safari ngumu alopitia katika kukuza jina na career yake mwishowe akakubali kuishia vile?
Nimemsikitikia sana Halima.
Peleka ushirikina wako LUMUMBANdio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.
kesi imeondolewa haijahitimishwa na mahakama maana yake inaweza kurudishwa muda na wakati wowote.
Hivyo Mbowe na wenzake ni vyema wakabadilika na kuachana kabisa na mipango ya kihalifu, Endapo Mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru angekuwa amesafishika lkn sio kwenye hatua hii.
Jambo la msingi abadilike.....na awe mzalendo kwa Taifa lake.
Wewe shida YAkO ni punda au mlio?!!!Ofisi ipo kichochoron huko eti makao makuu gan yapo kama store ya mkaa?
Imekuumaeee polePamoja na kufutiwa mashitaka naamini Mbowe na Genge lake la kihalifu watakuwa wameshika adbu.
na wamejifunza kuwa ukichezea Amani ya nchi utashughulikiwa kama mbwa koko.
Ushauri wa bure sasa ni bora akalee wajukuu.
aache tabia ya kuajiri wahalifu, wauza madawa, wavuta bangi, majambazi n.k
Sasa tutamfuatilia hadi chooni.
Halafu wakamiachia kwa kuwa si gaidiCorona je?
Mbowe ni gaidi maana mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu
Nakuonea huruma yani,povu lote lile afu Mungu si wewe kamsaidia kaachiwa baada ya kugundua Kesi ya maagumashi.Kuna watu leo watapatwa na homa za ghafla kwa mawazoOfisi mbona hamuonyeshi hiyo kama banda kama la kufuga kuku
Mumekula hela za wafadhili wa Ndani na nje ofisi hamjengi
BBC ,nk mkichukua picha chukueni na picha ya hiyo ofisi ulimwengu uone pesa zao zilivyoliwa
Azingatie kitu kimoja ambacho Mufti shehe Zuberi alimwambia Mama Samia musamehe Mbowe ila mkanye ASIRUDIE TENANakuonea huruma yani,povu lote lile afu Mungu si wewe kamsaidia kaachiwa baada ya kugundua Kesi ya maagumashi.Kuna watu leo watapatwa na home za ghafla kwa mawazo
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kilichonisikitisha ni yule james mbowe kutoonyesha shukrani kwa mama, kwa kumtoa mbowe na wenzake.
We kiazi kwa ushahidi ule alikuwa anashinda mchana kweupeeeeee.Sasa wameona hawawezi subiri wachekwe wakati uwezo wa kujipunguzia aibu wanao.Wewe Kesi yenyewe mashahidi wamekremisha Hadi huruma.Kwani huwezi acha ukiazi wako upate akili.Sh laki sita kufadhili ugaidi hata chekechea angeshangaa maana Mbowe siyo maskini hivyo na makomandoo hawawezi fanya ujinga kwa laki sita labda wa lumumba.Ndio maana niliwaanbia wafuasi wa Mbowe huu ni mtego hatari saana kwai Mbowe na hilo genge lake.
kesi imeondolewa haijahitimishwa na mahakama maana yake inaweza kurudishwa muda na wakati wowote.
Hivyo Mbowe na wenzake ni vyema wakabadilika na kuachana kabisa na mipango ya kihalifu, Endapo Mahakama ingemkuta hana hatia na kumuachia huru angekuwa amesafishika lkn sio kwenye hatua hii.
Jambo la msingi abadilike.....na awe mzalendo kwa Taifa lake.
Azingatie kitu kimoja ambacho Mufti shehe Zuberi alimwambia Mama Samia musamehe Mbowe ila mkanye ASIRUDIE TENA
Zandrano Issue siyo Mbowe kubadilika ni wewe kubadilika tumia UBONGO kufikiri maana hivyo ulivyo unatumia uji kufikiri.Kesi ya Jinai haiozi hata baada ya miaka 20 inawezekana akaja DDP mwengine akaifufua kesi na ikaanza upya.
jambo la msingi hapa ni Mbowe kubadilika na kuachana na vitendo vya kihalifu.
Mungu ibariki CHADEMABaada ya Freeman Mbowe kuachiwa huru inatarajiwa atatokea gerezani Ukonga na kufika kwanza Kwenye Makao Makuu ya Chama chake, Kinondoni mtaa wa Ufipa, bila shaka atatoa hotuba fupi ya kusalimia wanachama na wananchi.
Sasa baada ya kulijua hilo wananchi kwa maelfu wamevamia Makao Makuu hayo kwa lengo la kumsubiri Mwamba.
Jionee mwenyewe
View attachment 2138527
Kinyago cha mpapureNimejiuliza tu, baada ya haya Halima Mdee anajionaje?
Anajisikiaje?