kazi ilishamalizika mapema maana mawakala wa NASA walikataliwa kuchukua picha kwenye polling station so hapo tayari walishatengeneza maneno, this is Africa brother lakini tuwashukuru tume kufanya hivyo ili kupunguza furuguNdio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Usitufanye mazuzu kama wewe.
Katiba ya Kenya hairuhusu kura kuhesabiwa kwa mikono.Hapo manzidi kuharibu mambo akitokea mtu akahoji mahakamani zoezi hilo limefanyika kwa kifungu kipi utasemaje.
Aliedukua mfumo na kuingiza lumpsum ya kura milioni 1,alikuwa ana uhakika kabisa kwamba Raila na Uhuru ni 50-50
Hahaha very astonishing!!!!Kenya ilipigania kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Watanzania wanaiomba CCM iwape tume guru. Very interesting.
Yes, kwa standard ya mashetani wa afrika, madikiteita wa afrika, manyangau wa afrika, Kenya wamejitahidi sana. Ni hii kasoro ya fomu hizo mbili 34A and 34B. IEBC wangelifanya hivyo, basi Kenya would have been a leading example in the world if not ......nasikia jecha na lubuva wapo Nai,muwe makini
BTW japo sio kwa 100% ila uchaguzi umeonekana standard kwa levo ya kiafrika mashariki
Kasoro ni ndogo na wanaifanyia kazi using katiba nzuri.Hahaha very astonishing!!!!
Kwa nini mulimuua Chris? Je mna jibu lake?Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Kwa nini wewe hasa Mudawote ulimuua Ben?Kwa nini mulimuua Chris? Je mna jibu lake?
Aisee si utani ......Fahamu kuwa uchaguzi kwetu ni kila kitu, maana tukifanya makosa tunaishia kuisoma namba kwa miaka mitano, hivyo inabidi kuchukulia serious, kama nyie hapo Tanzania huwa mnachukulia kama maigizo fulani hivi, basi usitegemee sisi tuige.
watanzania kwann mnapenda kuonesha UJINGA wenu huku mitandaoni?...... hivi unafaham kwamba NASA walienda makahamani kuomba matokeo yatangazwe haraka kabla ya hizo form ili yasichakachuliwe?......Usitufanye mazuzu kama wewe.
Katiba ya Kenya hairuhusu kura kuhesabiwa kwa mikono.Hapo manzidi kuharibu mambo akitokea mtu akahoji mahakamani zoezi hilo limefanyika kwa kifungu kipi utasemaje.
Aliedukua mfumo na kuingiza lumpsum ya kura milioni 1,alikuwa ana uhakika kabisa kwamba Raila na Uhuru ni 50-50
Hilo nakubaliana na wewe, kuna baadhi ya vipengele mnatuzidi, lakini overall tunawazidi! Mambo kama tume ya uchaguzi kuwa final yanatakiwa kubadilishwa mara moja, na mengine mengi!Nakumbuka Lowassa alivyopambana kulalamika kwamba kura zake zimeibiwa, akabeba ushahidi na kupeleka kwenye majengo ya tume, lakini alipuuziwa mbali na mshndi akatangazwa. Hilo tumewashinda kwa mbali maana kwetu sisi inabidi vyama vyote vihusishwe, hesabu zipigwe taratibu kiasi kwamba hakuna atakayebaki akilalamika.
Demokrasia yetu!!?Ndio njia sahihi ya kuepuka ugomvi na kuhakikisha mshindi anakubalika, yaani fomu zote zimekusaywa na makarani wa vyama vyote wamealikwa kushirikiana kwa pamoja katika kupitia takwimu baada ya takwimu, herufi baada ya herufi na kukokotoa mahesabu yote kwa pamoja hadi kieleweke.
Walioshuku demokrasia yetu, muda muafaka ndio huu hapa wa majirani kujifunza kitu.
Hapa umeua sijui kama kuna mtu atajitutumua!! [emoji56]Kenya ilipigania kupata katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Watanzania wanaiomba CCM iwape tume guru. Very interesting.
Kundi lenu la kigaidi likiongozwa na Dj linahusikaKwa nini wewe hasa Mudawote ulimuua Ben?
Yawezekana ukawa sawa but hata kama hakuna Democracy, angalau KENYA wanatuzidi demokrasia sisi wazee wa porojo
Hivi bila ku protest hapa kwetu Tz tutapata nini?! WaTz tukubali ktk kudai haki tuko dhaifu sana!! SAMAHANI KAMA NIMEWAKERA HUMU.wanaosupport kuwa Kenya kuna Demokrasia zaidi ya Tanzania wanashangaza sana,Wakenya kila kitu cha msingi wanapata through Protesting watu lazima waumie kila siku,hii tume ya sasa imeweka through Protesting na bado ni mbovu kuliko halafu bado tunaiita hiyo ina Demokrasi??