Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

tutauangalia vizuri muhula huu mpya
 
Na huyu anaweza asifike 2026!!

Ndiyo kazi rahisi zaidi hiyo kwa mujibu wa wadau!
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Polepole
Shaka
Sophia Mjema
Makonda
Makalla
Kihongosi , Kihongosi hatadumu sana maana uwezo wake ni mdogo mno ( imagine mtu ana GPA ya 3.2 ) kiingereza cha kuunga unga form alipa form ya 27 ataweza kufanya kazi na Rose Migiro (Phd) mwenye exposure ya kutosha kimataifa si ni kwenda kudhalilishana.
 
vyeo sasa wanapewa vijana bro
 
Hawezi yule ,kwanza ni mropokaji wa bila kuanalyse athari ya kauli zake.Hawezi dumu yule.
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Besti umeshakula kiapo cha utii Kwa kipenzi chetu cha dhati mwamba mkombozi wa waislamu Imam Hussain ibn Ali AS?

Kama bado unasubiri nini?
 
Back
Top Bottom