The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Kule kwenye meno ya wazungu nako hivyo hivyo, lakini pia ukuu wa mkoa wa Arusha umepitia changamotoSamia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.