Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Samia The Killer na Donald Trump tabia zao hazitofautiani sana. Kufanya nao kazi bila risk ya kupigwa chini unatakiwa kuwa chawa 100%.Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.