Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

Polepole
Shaka
Sophia Mjema
Makonda
Makalla
Kihongosi , Kihongosi hatadumu sana maana uwezo wake ni mdogo mno ( imagine mtu ana GPA ya 3.2 ) kiingereza cha kuunga unga form alipa form ya 27 ataweza kufanya kazi na Rose Migiro (Phd) mwenye exposure ya kutosha kimataifa si ni kwenda kudhalilishana.
Kumbe GPA ndo akili ? Sikujua…… however GPA ya 3.2 ni standard GPA . Madaktari na Wafamasia wanaoenda kukutibu pale MUHIMBILI mostly wana GPA ya less than 3
So nipo na mshangao wewe ku undermineGPA ya above 3

Hivi umesoma hata chuo ? 🤣
 
Hawezi yule ,kwanza ni mropokaji wa bila kuanalyse athari ya kauli zake.Hawezi dumu yule.
Nani amedumu sasa ?

Shaka hajadumu
Makonda hajadumu
Makala hajadumu
Sophia hajadumu
Pole pole Hajadumu
Mbona data zinaonesha hakuna aliedumu, why huyu mpya adumu ?

Kama kutokudumu ni uwezo mdogo then wote hao juu wanauwezo mdogo ?

Na kwanini unadhan kutokudumu ni uwezo mdogo wa Mteuliwa na sio anaeteua ?
 
Polepole
Shaka
Sophia Mjema
Makonda
Makalla
Kihongosi , Kihongosi hatadumu sana maana uwezo wake ni mdogo mno ( imagine mtu ana GPA ya 3.2 ) kiingereza cha kuunga unga form alipa form ya 27 ataweza kufanya kazi na Rose Migiro (Phd) mwenye exposure ya kutosha kimataifa si ni kwenda kudhalilishana.
Kufanya kazi ccm si ujue kusoma na kuandika tu sasa huyo GPA yote iyo atashindwaje kufanya kazi
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.

Makamu Wenyeviti watatu ndani ya miaka 5. Mangula, Kinana na Wasira.
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Makonda alifiti vizuri lakini Nchimbi akamkataa nuyu Amos makala kala pesa fungu la kumunua watu toka chadema kwenda Chauma Ubwabwa chama Mchepuko wa ccm , wamegawana mabilioni na mbowe kimya kimya matokeo yake chauma imebuma kimyume na matarajio
 
Yule alikwapua pesa za kuibomoa chadema ndiyo maana akatupwa bench
🤣🤣🤣 kwa hio hakutumbuliwa. Alihamishwa kutoka ulaji mmoja kwenda ulaji mwingine
 
Dili la kuiua chadema limebuma makala alipewa pesa nyingi lakini kazifuja na mbowe matokeio yake chadema bado ipo imara
 
Samia The Killer na Donald Trump tabia zao hazitofautiani sana. Kufanya nao kazi bila risk ya kupigwa chini unatakiwa kuwa chawa 100%.
Sasa wanamjua ndiyo maana wakiteuliwa haraka haraka wanapiga pesa nyingi wanatulia kama Amos makala alivyofanya na mbowe, hata akitengua mtu anakuwa kala vya kutosha hatetereki
 
🤣🤣🤣 kwa hio hakutumbuliwa. Alihamishwa kutoka ulaji mmoja kwenda ulaji mwingine
Hili ndilo Tatizo kubwa la ccm ya sasa mwizi hupewa nafasi ya kuiba tena zaidi hawataki kuwashitaki wezi
 
Back
Top Bottom