Makatibu uenezi 5 ndani ya miaka 5 Tatizo ni nini?Samia kuna shida mahali

Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Samia The Killer na Donald Trump tabia zao hazitofautiani sana. Kufanya nao kazi bila risk ya kupigwa chini unatakiwa kuwa chawa 100%.
 
Mkuu maphd ya kukariri? Walizonazo wamesaidia nini nchi?

Tanganian
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Kumbuka kuna remote controller
 
Kila mtu ataonyesha ujuzi wake msijali.
 
Mtumbwi una vuja kitambo sana na mtoboaji ndio uyo uyo anae toa maji njee
 
Wewe ni mqundu ety, kwo Wewe mwenye GpA kubwa unalipi la maana?, una mchango gani kwenye taifa "madafaka" wewe
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Huyo ni tatizo ,Samia ni Tatizo kubwaa.


Unajua ukiwa mtenda Maovu, utahitajika kutumia mauongo mengi mengi ya Kila dizaini kujisafiaha
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
No reform no election
 
Jamaa alisoma shule ipi o level na IPO advance?
 
wote failure rose migiro nae sialichemka UN.
 
Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Kila mtu apate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…