Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Hata huko “teeth” tutapata bosi mpya wa 3 ndani ya miaka 4Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
🤣 🤣 🤣 🔊 Mbavu sina!!!Kwahy makala ameondolewa akiwa anasoma majina ya wagombea ubunge?
Mpaka ifike hio October tutakuwa tumeona mengi.Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Mkuu yetu macho, usisahau wasomi hubadilishiwa akili lumumba!!! Chances atafanya vizuri ni kubwa!!!Polepole
Shaka
Sophia Mjema
Makonda
Makalla
Kihongosi , Kihongosi hatadumu sana maana uwezo wake ni mdogo mno ( imagine mtu ana GPA ya 3.2 ) kiingereza cha kuunga unga form alipa form ya 27 ataweza kufanya kazi na Rose Migiro (Phd) mwenye exposure ya kutosha kimataifa si ni kwenda kudhalilishana.
Ilitakiwa kwanza usome na utafute fact you write out of nowhere.....Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Hayupo sawa .Alitakiwa asiendelee kuwa Rais .Hafai .Haiwezekani miaka 5 makatibu 6 wa uenezi .Ilitakiwa kwanza usome na utafute fact you write out of nowhere.....
Haraka ya nini Mkuu ?
In short hamna shida kila kiongozi anatafuta legendary historic & leadership Mythic so Rais Samia kwa mtazamo wake yupo sawa bila kujali ni safari ya Jangwani kuelekea Canaan au safari ya kuelekea kwa Beth- Sheba though zote ni Safari.
Mkuu acha wivu kwa kijana mwanzako kisa amekuwa na mafanikio makubwa kuliko wewe, kuwa na nidhamu na wewe zamu yako itafika TU, CCM tuache tabia ya Kuonea wivu na choyo .Polepole
Shaka
Sophia Mjema
Makonda
Makalla
Kihongosi , Kihongosi hatadumu sana maana uwezo wake ni mdogo mno ( imagine mtu ana GPA ya 3.2 ) kiingereza cha kuunga unga form alipa form ya 27 ataweza kufanya kazi na Rose Migiro (Phd) mwenye exposure ya kutosha kimataifa si ni kwenda kudhalilishana.
Kifo cha magufuli kimevuruga mambo mengi sana serikalini na kwenye chama, hata future ya namna ya kupokezana madaraka kwa ccm imevurugika vibaya mno na hali hiyo wasipo i-handle with care bado itawavuruga huko mbeleni.haijawahi kutokea kwa sababu ya kifo cha raisi aliye madarakani --- lile tukio limeleta impact kubwa sana
naam , tabiri zingine ni ramli tu -- kuna power struggle kubwa sana huko chama tawala
Kifo cha magufuli kimevuruga mambo mengi sana serikalini na kwenye chama, hata future ya namna ya kupokezana madaraka kwa ccm imevurugika vibaya mno na hali hiyo wasipo i-handle with care bado itawavuruga huko mbeleni.
Kama itatokea unachosema basi atakua wa tano na si wa tatu. Diwani athuman, Hussein massoro, balozi Ali idi siwa, Suleiman mombo, hivyo atayekuja atakuwa wa tanoHata huko “teeth” tutapata bosi mpya wa 3 ndani ya miaka 4
Tuombe Mungu atoboe maana keshakua wa kuhudhuria garage mara kwa mara.tutauangalia vizuri muhula huu mpya
Wewe Samia si ni shosti yako ?Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Watambue watu kwa majina yao na sio kwa ukabila. Sasa Nashangaa humjui mzanzibar mwenzio,Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.