The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,928
Kule kwenye meno ya wazungu nako hivyo hivyo, lakini pia ukuu wa mkoa wa Arusha umepitia changamotoSamia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Kwani anaenda kufanya mtihani na A.R Migiro? Siasa hasa za kwetu hazizingatii academic achievements ni mtu kujiamini, kuaminiwa na kupanga hoja zako.Polepole
Shaka
Sophia Mjema
Makonda
Makalla
Kihongosi , Kihongosi hatadumu sana maana uwezo wake ni mdogo mno ( imagine mtu ana GPA ya 3.2 ) kiingereza cha kuunga unga form alipa form ya 27 ataweza kufanya kazi na Rose Migiro (Phd) mwenye exposure ya kutosha kimataifa si ni kwenda kudhalilishana.
Wewe kweli half cakeElewa kuwa aliendelea na Samia, lakini ukimtoa pia watakua wanne sio watatu
Fear of the unknownSamia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Tatizo ni yeye mwenyewe. Katika historia ya Tanzania ya vyama vingi, hakuna Rais mwingine aliyewahi kubadilisha key players kama magauni. Ni Rais gani mwingine amewahi kuwa na VP aliyeamua kustaafu siasa katikati ya awamu ya utawala wake? Huko kwenye chama, so far, watu watatu wamehudumu nafasi ya Vice Chairman (Bara) na watatu kwa nafasi ya Secretary General. Hata nafasi ya Naibu Katibu Mkuu (Bara), wamehudumu at least watu watatu pia.Samia alipoingia, Katibu uenezi alikuwa Pole Pole ,then akabadili na kumuweka yule mzanzibar jina limenitoka then akaja Makonda then Makala na sasa Kihongosi.
Kazi ipo.
Kama hajapata na fasi wapumbavu nchi hii waliojitoa akili ndo wanapewa nafasi Makonda kumchapa kibao Warioba UDC akaukwaaWewe ni mqundu ety, kwo Wewe mwenye GpA kubwa unalipi la maana?, una mchango gani kwenye taifa "madafaka" wewe