Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

ACT kwasasa ndio Chama cha Upinzani chenye nguvu zaidi
Ukiacha Udini wa Chadema!!!!
 
Mana Chadema kwasasa kinasapotiwa Kikristo sio kisiasa
tena
Lissu sio mwanasiasa tena ni Baba paroko yule au NABII Mtume nk.
 
Hii si mbinu ya kuiuwa Chadema haiwezi kufanikiwa.

Dunia nzima vyama vyoye vikubwa vina base ambayo ndio strong hold ukianzia Marekani Warepublican na Democratic.

Ukienda Kenya hivyo hivyo Odinga alibamba kwa sababu ya strong hold zake Rutto akatobowa Mlima.

South Africa Inkatha Freedom party kimeshindwa kufurukuta kwa sababu kipo Kwazulu Natal na bado ANC imetobowa Kwazulu Natal.

Tanzania Ccm ina strong hold kwenye jamii duni zisizokwenda shule hawa ndio mtaji wa ccm, hatuna tatizo la kidini Tanzania ukitaka kujuwa nchi ambazo dini ndio kigezo nikutajie tena mojawapo ni Lebanon, Rais ni lazima awe Mkristo, Waziri lazima awe mwislamu wa Shia na Spika wa bunge ni lazima awe Mwislamu wa Sunni hii ni kwa mujibu wa katiba yao.

Ccm ndio chama kinachotumia turufu ya udini kwenye jamii duni ambazo hazijaelimika.
 
Baba paroko na wafuasi wake!!!
 

Attachments

  • IMG_6157.jpeg
    56.7 KB · Views: 11
  • Yeriko.png
    1.8 MB · Views: 10
Mana Chadema kwasasa kinasapotiwa Kikristo sio kisiasa
tena
Lissu sio mwanasiasa tena ni Baba paroko yule au NABII Mtume nk.
Kilichokuwa kimeujaza moyo wako sasa umeamuwa kukiweka hadharani, nilidhani una japo akili kidogo kumbe ndio walewale kina Mwaipopo.
 
Makonda ni Mkristo, anapendwa sana na Walokole wengi.
Mwanri ni mzee wa Kanisa KKKT,

Tanzania kwa ujumla raia wake sio wafuata dini kwa msimamo mkali ndio maana unaona hata wakina Diamond sasa hivi wanaimba na wanamuziki wa injili, utawakuta Wakristo wanaovaa kanzu na bargashia, utawakuta Waislamu wanaoshiriki kwenye riba, pombe na muziki.

Hata hivyo bado watu wana dini zao na wangependelea zaidi kuwaona watu wa dini zao katika mamlaka.
 
Huko nyuma makatibu CCM walikuaje?.. ilikua sahihi?
 

Kwanza nikurekebishe maelezo yako kidogo kuhusu Lebanon
Ni sawa Rais kutokea Cristian

Lkn Waziri mkuu ndio Sunni

Na Spika kutokea Shia,

Rutto kaungwa mkono na Wakikuyu wa mlimani
Japo yeye Rutto sio mkikuyu
Ni mkalenjini Kabila la Moi

Kaungwa mkono kwasababu za chuki za Kikuyu dhidi ya Odinga Mjaluo
Wakikuyu wanasema IKULU yao itaongozwa tu na Mkikuyu au Mkalenjin
Sio Mjaluo!!

Tanzania CCM inaungwa mkono na Watanzania walio wengi kuungwa mkono na walio wengi ni Ushindi wawazi kabisa!!!

Sababu wewe ukisema CCM inaungwa mkono na jamii hisiosoma
Sawa kwa mitazamo ya Chadema kutegemea tafiti za kimjini mjini

Chama cha Siasa kimsingi kinatakiwa kuungwa mkono na Jamii kubwa zaidi

CCM imefanikiwa ktk hilo kwa %100

Chadema wameacha kutafuta wafuasi Wasomi Wasomi wakawapigie kura!!
Kwasasa wamewageukia wafuasi wa ki Aleluyaaaaa kutokea Makanisani!!!!!!!
 
Kwahiyo unapingana na official research?
 
Nyerere 24 years katuachia umaskini wa kutupwa, Mwinyi 10’years akarudisha unafuu, Mkapa akauza mashirika na nyumba za serikali, Kikwete miaka 10 akafungua nchi kidiplomasia, Magufuli kaasidi utekaji na mauaji na kunyimwa demokrasia kamrithisha Samia
Katka miaka 60 ya Uhuru, wakirisro wametawala 2/3 (miaka 40)na umaskini huu wa Tanzania na ubadhirifu umetokana na wao
Angalia top ten ya mafisadi wakubwa wa nchi hii wanatoka wapi na maskendo yote makubwa ya wizi kina Mramba, Yona, Escrow, EPA ni wapi?
 
Odinga ameshinda chaguzi mara mbili Kenya ila hakutangazwa mshindi.
 

ni ngumu kukubishia kweye hayoa ulioyaandika, ...
 
Kwahiyo unapingana na official research?

Sipingani nimesemema tafiti za kimjini mjini

Walitakiwa wajue kwanini wale waliowaita wao wameishia
Darasa la Saba!!
Wanaunga mkono CCM
Tafiti ya kipumbavu inatoa majibu mapesi

Kama lengo ni kuelimisha jamii yetu
Walipaswa watwambie kwanini
Wenye Darasa la 7wanaunga mkono CCM zaid i!!!!!

Na kwanini Wasomi wanaipinga CCM!!!
Tafiti yao imekosa nyama!!!

Wangetwambia hilo ningewaona wamaana sana!!
 
Ni zaidi ya 21 kuna watu mle wanamajina ya kikristo ila ni waislamu
 
CCM hakiunguwi mkono na raia wengi ndio maana hakitaki tume huru ya uchaguzi, kinatumia Ofisi ya msajili kuhujumu upinzani, hakitaki wagombea binafsi na pia kimeweka Sheria za vyama kutoungana.

Dola ndio inayoifanya CCM iendelee kuwa madarakani.
 

Mkuu umeniwahi kidogo nilitaka kuja na Andiko kama lako tofauti yangu ingekuwa kidogo sana!!!

Hongera kwa andiko zuri mkuu

Wakristo wametawala miaka 45
Waislamu miaka 25 kufikia sasa
Kwaiyo Waislamu wanadai miaka 20 ili twende sawa Kisheria mbele ya misingi
ya HAKI
 
Naona mnaanza kusuka mipango mapema kumuweka Rizimoko 2030. Itakuwa na jambo jema sana maana Wagalatia wa CCM hawatakubali, chama kitavunjika😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…