Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Mshahara wa Afisa ugani wa kilimo na mifugo ni 585000, nipo tayari kukosolewa katika hili.
 
Ahahahaha,, hongera ww unaongea point nimependa!
Nilihitaji tujadili kwa point na sio kulalamika tu.
 
Mshahara haujawahi kutosha mkuu hata ulipwe mil8 coz jinsi unavyozidi kupata pesa ndio malengo yanaongezeka hata wanaolipwa mil8 bado wanaona ni ndogo kikubwa ni kuishi kipato chako na malengo yaendane na kipato chako utayafurahia maisha na utaipenda kazi uliyonayo
 
Kama ndio hivyo basishahara wa mwalimu ngazi ya degree mganga wa kienyeji anauingiza kwa masaa manne tu inabidi muwaheshimu eaganga kea siku wanalaza mpaka milioni mbili
Laki tatu mganga anaipiga chap sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kupigiwa ramli tu elfu 50 dadeki zenu.... na mnatoa bila kuhoji.

Ni bora niwe mganga wa kienyeji kuliko kuwa mwalimu, ni UJINGA na UPUMBAFU.

Mwezi mzima unapokea Raki tatu, alaaah!!! Kwanini wasiache kazi hata wakalime? Mimi ningeenda kulima.

Mikundu juu kumbe wanalipwa mshahara kama wa Housegirl!! SHUBAMIIT
 
Thank God, nilitoka kwenye mfumo rasmi wa ajira/kujiajiri, hz Kodi ni wizi, unalipa Kodi, DC ananunuliwa Prado mpyaa, DC mwenyewe anayeenda kuwe ka makario yake kwenye Prado, ni kilaza wa bongo muvi, LA Saba alifeli, form four, div 4,six hakufika, akasoma open university cerirficste, ambayo na yenyewe alihonga pesa asaidiwe! Shenz type, Wacha nibaki huku huku unyamwezini
 
Mimi nipo huku bariadi nachukua bachelor ya uganga wa kienyeji
 
Hapo bila tuition, kuuza madesa, na visheti hutoboi
 
Leta Salary slip ya mwezi wa sita.
 
Basic ni 823,000/= sema makato ndio mengi sana, ila akiwa hana heselb anachukua kama 673,000/=
 
Aisee! Hapo lazima afya ya akili ilete mgogoro.
Ndiyo maana kuna kesi za ajabu ajabu zinazowakuta Waalimu
Na mwakani wanaenda kuwa wasimamizi wa Uchaguzi na kulishwa kiapo cha kutotoa siri ya matokeo ya uchaguzi 2025!
So sad!
Shida mnawasakama walimu sana, mimi ni Mwalimu namzidi mshahara mhasibu wa halmashauri, kwanini Zigo lote mnawatupia walimu?
 
Ishu ni kwamba,, unalipwa laki saba ila kiuhalisia unapokea laki tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…