Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Mpwayungu Village
 
Inamaanisha kwamba mshahara haukidhi mahitaji na ukianglia gharama za maisha zimepanda
 
Mkuu Hapa umedanganya kutetea Fani yako..
Mwalimu wa Bachelor anachukua TGTS D1.
Kwa mujibu wa Mishahara Mipya Basic Ni Tsh 771k.. na sio 823k...

kama Doccument hapa chini inavyosema..
View attachment 3042138
Waalimu walioajiriwa mwaka jana wenye degree basic yao ni 822k, na take home ni 676k
Wenye diploma basic 616k take home kwenye 520k
 
ULICHOONGEA NI KWELI, NI SAHII KWA AFYA KULIPWA HIVYO NA KUZIDI, DIPLOMA YA NURSING NI KARIBU MILLION 3 KWA MIAKA 3, NI MILLION 9, UKIACHANA NA BACHELOR YA EDUCATION AMBAYO ADA NI LAKI 9 MPAKA MILLION,...
Huu ni mshahara wa mwalimu anayeanza anapewa 822,000/= anaanzia D4
 
ULICHOONGEA NI KWELI, NI SAHII KWA AFYA KULIPWA HIVYO NA KUZIDI, DIPLOMA YA NURSING NI KARIBU MILLION 3 KWA MIAKA 3, NI MILLION 9, UKIACHANA NA BACHELOR YA EDUCATION AMBAYO ADA NI LAKI 9 MPAKA MILLION,...
Huu ni mshahara wa mwalimu anayeanza.
Mkuu Nakukatalia huyu sio anayeanza hiyo Uliyoandilka hapo ni TGTS D4 ..
NA Sio rahisi kwa Serikali Kuanza na D4 kabla Mtu hajapigwa D1..

Kila niliangalia matangazo yote ya kazi Hakuna mwalimu anaanza na D4

Mwalimu Daraja la IIIC (Bachelor huanza na D1)
Unaelewa Namba hiyo mbele ya D inamaanisha nini??

Its increments sasa utapataje increments kabla ya kuanza kutumikia plane scale??
 
Mkuu Nakukatalia huyu sio anayeanza hiyo Uliyoandilka hapo ni TGTS D4 ..
NA Sio rahisi kwa Serikali Kuanza na D4 kabla Mtu hajapigwa D1..

Kila niliangalia matangazo yote ya kazi Hakuna mwalimu anaanza na D4

Mwalimu mwenye degree anamzidi mhasibu na wafanyakazi woote, sema hakuna marupurupu na pesa za kuiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…