Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Wenye kujielewa wanachomoka, mimi mwenyewe sioni kama nitakaa humu, though nimeanza kujitafuta kwenye biashara nikiwa humu, mambo yakijipa nawaachia wengine gurudumu.

Aiseee plan nzuri mkuu ,laki 3 hauwezi kutoboa labda uwe mwizi ambapo DC/RC hawa wapenda sifa lazima atakufunga kuonyesha anafanya kazi.
 
Hali ni mbaya kwa kweli.Kule Kenya ni sababu ya sera mbovu za ELIMU za kuandaa wanafunzi kuajiriwa ndiyo zimewafikisha hapo,ufisadi wa kutisha,sera mbovu za kijamii,na kupishana kwa mishahara baina ya tabaka Moja na Kingine.Hivyo najua mamlaka zinajifunza mengi Sana kutokana na majirani zetu kupata CHANGAMOTO hizo.Mungu atufanyie WEPESI
 
wapumbavu waliongezea ajira mpya tu, ila ukipanda daraja mnakuwa sawa na wale ambao walianza na D plane
 
Ila bado ni kundi la walimu Lote ndo linaonekana bado ninmshahara mdogo Mkuu..
Kwa sababu Kama mwalimu wa Science aliyesoma Kwa shida madude magumu unampa D4..

Huuku Afisa utumishi unampa TGS D1 au TGS E ambayo 900k huoni kama ni uonevu??
 
MWENYE SALARY SLIP,, YA MWAKA HUU AU MWAKA JANA ATUME ILI TUCHANGANUE MAMBO.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila bado ni kundi la walimu Lote ndo linaonekana bado ninmshahara mdogo Mkuu..
Kwa sababu Kama mwalimu wa Science aliyesoma Kwa shida madude magumu unampa D4..

Huuku Afisa utumishi unampa TGS D1 au TGS E ambayo 900k huoni kama ni uonevu??
Afisa utumishi,utamaduni, mhasibu, mchumi na zingine zoote wanaanza na D ambayo ni laki 7, kwa halmashauri katibu wa afya anaanza na E, na engineering anaanza na E au F.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…